Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaa paleMkuu wataruhusu tu labda kama wamechoka kupiga picha na mamabeberu huko kwa biden
Kama approval haijatokewa huwezi kuwekwa kwenye waiting list. Waiting list kama Kenya ama Zambia walishatoa kibali ama approval. Ni ishu za logistics tu za Starlink kukamilisha na kuleta mzigo.
Mkuu naona unaongea kitu hukielewi.Kama approval haijatokewa huwezi kuwekwa kwenye waiting list. Waiting list kama Kenya ama Zambia walishatoa kibali ama approval. Ni ishu za logistics tu za Starlink kukamilisha na kuleta mzigo.
Huyo mbishi tu.Mkuu naona unaongea kitu hukielewi.
Hebu ingia twitter account ya Elon Musk search Tanzania
Mkuu ngoja tuone hawa wanaotegemea fedha za IMF na WB kama watakaza fuvuNimekaa pale
Waruhusu aisee....internet ipo njiani kuwa moja ya 'basic needs' miaka ijayo.Mkuu wataruhusu tu labda kama wamechoka kupiga picha na mamabeberu huko kwa biden
Wata ruhusu tu mkuu huko ulaya Internet ni basic need huku wanakaz mafuvu.Waruhusu aisee....internet ipo njiani kuwa moja ya 'basic needs' miaka ijayo.
Hayo makampuni kila mwaka yanatangaziwa misamaha ya kodi ni yao sema sasa wana deal na libeberuSerikali ya Tanzania haiwezi kutoa kibali kwa Starlink sababu wanaogopa kupoteza pesa wanazopata kutoka kwenye makampuni ya simu yaliyopo nchini.
Makampuni haya yanatoza bei kubwa sana za vifurushi na Serikali inanufaika sana kutokana na bei hizo kupitia kodi.
Shida huelewi. Elon alisema anasubiri Tanzania itoe ruhusa, sasa hapo kitu gani huelewi?Mkuu naona unaongea kitu hukielewi.
Hebu ingia twitter account ya Elon Musk search Tanzania
Uelewa wangu hakuna mtu kwenye ukoo wenu anao. Nachokiandika huna uwezo wa kukielewa.Huyo mbishi tu.
Kwa uelewa wako wa rangi hapo Tanzania iko kwenye available, Waitlist ama coming soon?
Mkuu usipanick umewekewa orodha hapo ya starlink nchi ambazo stafikiwa 2023 na 2024 Tanzania ipo.Shida huelewi. Elon alisema anasubiri Tanzania itoe ruhusa, sasa hapo kitu gani huelewi?
Hiyo orodha ina nchi ambazo tayari ruhusa imetolewa. Hapo kigumu kuelewa wewe ni kipi? Hiyo orodha iko kwenye website ya Starlink. Waulize Starlink kwa nini hawajaweka Tanzania kwenye orodha ya waiting list wakati Elon amesahasema Twitter kwamba anaileta Tanzania.
Mkuu, tukubaliane kuyaachia hapa. Tusipoteze muda kubisha mambo ya Elon Musk. Tunabishana yeye anapiga hela.Mkuu usipanick umewekewa orodha hapo ya starlink nchi ambazo stafikiwa 2023 na 2024 Tanzania ipo.
Hakuna orodha ya nchi zilizo kubali labda unioneshe sehemu gani iliyo andikwa katika orodha yako kwamba nchi hizo zimekubali na sio mpango tu wa starlink kuyafikia hayo mataifa
Sawa mkuu wote maisha ya kawaidaMkuu, tukubaliane kuyaachia hapa. Tusipoteze muda kubisha mambo ya Elon Musk. Tunabishana yeye anapiga hela.
Kikubwa tusubiri huduma itufikie. Naamini ikitufikia tutapata ahueni ya mabando labda nyie vibopa sina hakika kama mnapata shida na gharama za vifurushi.
Pesa Gani Exactly, hii ni hoja dhaifu sanaSerikali ya Tanzania haiwezi kutoa kibali kwa Starlink sababu wanaogopa kupoteza pesa wanazopata kutoka kwenye makampuni ya simu yaliyopo nchini.
Makampuni haya yanatoza bei kubwa sana za vifurushi na Serikali inanufaika sana kutokana na bei hizo kupitia kodi.
Kwa Hio kifurushi cha 1000 ama 2000 utasaidiwa kupunguza bei na Starlink?Mkuu, tukubaliane kuyaachia hapa. Tusipoteze muda kubisha mambo ya Elon Musk. Tunabishana yeye anapiga hela.
Kikubwa tusubiri huduma itufikie. Naamini ikitufikia tutapata ahueni ya mabando labda nyie vibopa sina hakika kama mnapata shida na gharama za vifurushi.