Mzigo wa Starlink Rwanda

Mzigo wa Starlink Rwanda

starlink-availability-in-africa-768x429.jpg
 
Kama approval haijatokewa huwezi kuwekwa kwenye waiting list. Waiting list kama Kenya ama Zambia walishatoa kibali ama approval. Ni ishu za logistics tu za Starlink kukamilisha na kuleta mzigo.
Mkuu naona unaongea kitu hukielewi.
Hebu ingia twitter account ya Elon Musk search Tanzania
 
Waruhusu aisee....internet ipo njiani kuwa moja ya 'basic needs' miaka ijayo.
Wata ruhusu tu mkuu huko ulaya Internet ni basic need huku wanakaz mafuvu.
Na hizi kampuni kubwa za marekani huwa zina mkono wa serikali yao na lengo lao ni kui-centralize internet wao ndio wawe wamiliki(monopoly capitalism) ni ngumu kuizuia
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kutoa kibali kwa Starlink sababu wanaogopa kupoteza pesa wanazopata kutoka kwenye makampuni ya simu yaliyopo nchini.

Makampuni haya yanatoza bei kubwa sana za vifurushi na Serikali inanufaika sana kutokana na bei hizo kupitia kodi.
 
Hayo makampuni kila mwaka yanatangaziwa misamaha ya kodi ni yao sema sasa wana deal na libeberu
 
Mkuu naona unaongea kitu hukielewi.
Hebu ingia twitter account ya Elon Musk search Tanzania
Shida huelewi. Elon alisema anasubiri Tanzania itoe ruhusa, sasa hapo kitu gani huelewi?

Hiyo orodha ina nchi ambazo tayari ruhusa imetolewa. Hapo kigumu kuelewa wewe ni kipi? Hiyo orodha iko kwenye website ya Starlink. Waulize Starlink kwa nini hawajaweka Tanzania kwenye orodha ya waiting list wakati Elon amesahasema Twitter kwamba anaileta Tanzania.
 
Rostam ameinunua Tigo. Usitegemee hawa vibaraka wake wairuhusu Starlink ije kumpunguzia mapato!

Nchi imelaaniwa hii.
 
Ukweli ni kwamba Starlink inakuja pia Tz, kinachoendelea sasa ni kuchelewesha tu ili kupima (kutathmini) athari zake kiuchumi kwa nchi za kiafrika zinazotuzunguka, lakini huenda kabla ya kwisha mwaka huu Starlink itakuwa hapa Tz.

Tanzania kwa 99% haiwezi kukwepa ujio wa starlink kwa kuwa, ndani ya miaka miwili kutoka sasa zaidi ya 80% ya nchi za Afrika (huku 100% ya nchi zinazopakana na Tz) zitakuwa zimeunganishwa na mtandao wa Starlink, na kwa sababu hiyo Tanzania haiwezi kubakia kuwa kisiwa cha kukwepa teknolojia ya mawasiliano.
 
Shida huelewi. Elon alisema anasubiri Tanzania itoe ruhusa, sasa hapo kitu gani huelewi?

Hiyo orodha ina nchi ambazo tayari ruhusa imetolewa. Hapo kigumu kuelewa wewe ni kipi? Hiyo orodha iko kwenye website ya Starlink. Waulize Starlink kwa nini hawajaweka Tanzania kwenye orodha ya waiting list wakati Elon amesahasema Twitter kwamba anaileta Tanzania.
Mkuu usipanick umewekewa orodha hapo ya starlink nchi ambazo stafikiwa 2023 na 2024 Tanzania ipo.
Hakuna orodha ya nchi zilizo kubali labda unioneshe sehemu gani iliyo andikwa katika orodha yako kwamba nchi hizo zimekubali na sio mpango tu wa starlink kuyafikia hayo mataifa
 
Mkuu, tukubaliane kuyaachia hapa. Tusipoteze muda kubisha mambo ya Elon Musk. Tunabishana yeye anapiga hela.

Kikubwa tusubiri huduma itufikie. Naamini ikitufikia tutapata ahueni ya mabando labda nyie vibopa sina hakika kama mnapata shida na gharama za vifurushi.
 
Sawa mkuu wote maisha ya kawaida
 
Serikali ya Tanzania haiwezi kutoa kibali kwa Starlink sababu wanaogopa kupoteza pesa wanazopata kutoka kwenye makampuni ya simu yaliyopo nchini.

Makampuni haya yanatoza bei kubwa sana za vifurushi na Serikali inanufaika sana kutokana na bei hizo kupitia kodi.
Pesa Gani Exactly, hii ni hoja dhaifu sana

Umeona hio bei ya Rwanda pamoja na Subsidies ni kama 100,000 kwa mwezi na Kujiunga ni zaidi ya Milioni, mwananchi wa kawaida anaweza Atoe Milioni kweli nchi hii kufungiwa Internet?

Starlink hai compete na mitandao ya simu, hii itasaidia watu wa Vijijini na wilayani ambao wanajiweza kiuchumi, otherwise kutabakia kama kulivyo.

Huko Ulaya kwenyewe ambako watu wanajiweza na Serikali zina Subsidize Fees za Starlink sembuse huku kwetu.
 
Mkuu, tukubaliane kuyaachia hapa. Tusipoteze muda kubisha mambo ya Elon Musk. Tunabishana yeye anapiga hela.

Kikubwa tusubiri huduma itufikie. Naamini ikitufikia tutapata ahueni ya mabando labda nyie vibopa sina hakika kama mnapata shida na gharama za vifurushi.
Kwa Hio kifurushi cha 1000 ama 2000 utasaidiwa kupunguza bei na Starlink?
 
Back
Top Bottom