WoyooooooooPesa...
Mfyuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]kaburini????
Nitafute pm baada ya interview
Ni kweli na kila mtu ana kisa chakeNi mambo ya aibu ujue sema ndo mapenzi tena..
Mapenzi bila pesa hata kidogo ni kuwekeana majaribu ya kucheat...Woyoooooooo
Mapenzi no upofu.Ni mambo ya aibu ujue sema ndo mapenzi tena..
Mie kwangu haiwezekana bila chapaa aiseeMapenzi bila pesa hata kidogo ni kuwekeana majaribu ya kucheat...
Muosha rungu mbona maswali yako ya kitoto
Aaa jamani.Mfyuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Muhimu kuchanganya ili kumpa mtu nafasi ya kupumuaMuosha rungu me mbona maswali yako ya kitoto
Hahahaaa nakuona humu unam mendea Mzigua90Aaa jamani.
Ina maana nisiweke ukomedi kidogo.
Hujui wasambaa ni watani zangu?
Ndio unaamka sasa hivi? Manake nimekushindwa kwenye jukwaa la mapopo.
Hulali kabisa inna.
Mshana kakupa linyau nini la kupoteza usingizi?
Ashindwe kabisaaaa. Nitakupa upako lakini nitauaondoa yote
HahahHapo cha cha.
Cc@saint ivuga
Kesho unafanyiwa interview wewe hapo.Muosha rungu mbona maswali yako ya kitoto
Acha kabisaa... nilihama hostel kwetu nikaja kubebwa town ili tu niwe na bby karibu... sema ndo alikua bf wangi wa kwanza ndo maana alinidatisha sana.Mapenzi no upofu.
Hapo mwenyewe ndio ulikuwa inlove balaa.
Njoo nikuoshe kwa rungu teaching by practice!....hebu nione we ulivyotawaza vizuri niige kwako,
.choco_late!
LolMuosha rungu mbona maswali yako ya kitoto
Ohooo nakimbia labda unifanyie ww mana utaniuliza maswali ya mahaba tuKesho unafanyiwa interview wewe hapo.
Hahahahaaaa....