Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Mfyuuuuuu[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Aaa jamani.
Ina maana nisiweke ukomedi kidogo.

Hujui wasambaa ni watani zangu?
Ndio unaamka sasa hivi? Manake nimekushindwa kwenye jukwaa la mapopo.

Hulali kabisa inna.
Mshana kakupa linyau nini la kupoteza usingizi?
Ashindwe kabisaaaa. Nitakupa upako lakini nitauaondoa yote
 
Hahahaaa nakuona humu unam mendea Mzigua90
 
Back
Top Bottom