Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Napingana nao kabisa..Kwa iyo kwa kusema ivyo wewe unapingana na wanaume wa kizigua kwa maana ktk moja ya post zako umesema unavutiwa na mwanaume mwenye focus ya kutafuta pesa pamoja na mzuri darasani kama sikosei.