Mzigua90 kikaangoni

Mzigua90 kikaangoni

Kwa iyo kwa kusema ivyo wewe unapingana na wanaume wa kizigua kwa maana ktk moja ya post zako umesema unavutiwa na mwanaume mwenye focus ya kutafuta pesa pamoja na mzuri darasani kama sikosei.
Napingana nao kabisa..
 
Wazazi wengi mlopata watoto wa nje mkishaolewa mnawasahau wanenu, mnawajali mlowapata ndani ya ndoa mliopo : Wanaume walowaoa wengine huwa hawataki hata kuwasikia watoto wenu wa nje, mnawasukumia baba zao na ukikuta baba yake nae haeleweki au ana familia nyingine ndo kabisaa watoto wengi mnawafanya vibaka.. msijisahau
Hiyo ni tabia mbaya ya mtu mkuu, ninavyompenda mwanangu hivi kweli nimtenge kisa ndoa? Siko kama wao mkuu. Bora kupoteza ndoa ila sio huyu mtoto nilienae.
 
Back
Top Bottom