sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fedha za KEMSA Kshs7.8 bln ni ndogo sana!Hiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi. Na hapo bado, mama ameamuru ukaguzi ufanywe BOT kila hela iliyotoka humo itolewe maelezo, ina maana madudu yatajitokeza kama yote.
Kwa makelele yote hayo ya marehemu Magufuli na tumbua zote zile bado hela ilikua inapigwa tena ndefu sana, hehehe Afrika bana, ukiingia Youtube hakuna msanii maarufu Tanzania ambaye hakuimba nyimbo za kumsifu Magufuli.
Binafsi namtakia kila la kheri huyu mama, naona sio mwenye majigambo na vijembe, anachimba kimya kimya, na labda kwa mfano wake wengine tunaweza tukaiga kumpigia kura kiongozi mwanamke kwenye mataifa yetu. Sema tu bado hajafanya kikubwa ndio mwanzo, maana hao hapo ameamrisha wakae pembeni uchunguzi ufanywe, hayo tumeyazoea, mpaka pale tutaona watu wananyea debe kwa ufisadi ndio tutakua na uhakika kwamba kuna cha maana kinatendeka.
Tumuombee na kutegemea atahamasisha mahusiano mema, hata body language inaonyesha alivyo mskivu na mkomavu
![]()
Sisi. hatukusema kwetu hakuna ufisadi....Nyinyi mlijidai eti kwenu kusafiiiii ..kumbe ufujaji umekithiri kichini chinifedha za KEMSA Kshs7.8 bln ni ndogo sana!
BTW upotevu huo uligunduliwa chini ya JPM, Majaliwa alipoenda Bandarini! Utakuwa mjinga wa mwisho kuilinganisha Tanzania na Kenya kwenye ufisadi !Sisi. hatukusema kwetu hakuna ufisadi....Nyinyi mlijidai eti kwenu kusafiiiii ..kumbe ufujaji umekithiri kichini chini
Hatuhitaji uhusiano mwema na Kenya, huyu mama hawezi kwenda kinyume na Magufuli, akifanya hivyo atapoteza uchaguzi 2025Hiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi. Na hapo bado, mama ameamuru ukaguzi ufanywe BOT kila hela iliyotoka humo itolewe maelezo, ina maana madudu yatajitokeza kama yote.
Kwa makelele yote hayo ya marehemu Magufuli na tumbua zote zile bado hela ilikua inapigwa tena ndefu sana, hehehe Afrika bana, ukiingia Youtube hakuna msanii maarufu Tanzania ambaye hakuimba nyimbo za kumsifu Magufuli.
Binafsi namtakia kila la kheri huyu mama, naona sio mwenye majigambo na vijembe, anachimba kimya kimya, na labda kwa mfano wake wengine tunaweza tukaiga kumpigia kura kiongozi mwanamke kwenye mataifa yetu. Sema tu bado hajafanya kikubwa ndio mwanzo, maana hao hapo ameamrisha wakae pembeni uchunguzi ufanywe, hayo tumeyazoea, mpaka pale tutaona watu wananyea debe kwa ufisadi ndio tutakua na uhakika kwamba kuna cha maana kinatendeka.
Tumuombee na kutegemea atahamasisha mahusiano mema, hata body language inaonyesha alivyo mskivu na mkomavu
![]()
Yule CAG wa awali alipogundua wizi wa trilioni 1.5 wakamtupia nje, huyu wa sasa ana bahati amewasilisha huu wizi chini ya rais tofauti.Sisi. hatukusema kwetu hakuna ufisadi....Nyinyi mlijidai eti kwenu kusafiiiii ..kumbe ufujaji umekithiri kichini chini
Muhimu ni kwamba hatuhitaji uhusiano mzuri na Kenya, Tanzania ni gumzo duniani kote kwa sasa, Kenya mnajaribu kulazimisha mahusiano na sisi, tunasubiri mfunge mpaka wenu kama mlivyoambiwa naabwana zenu wa UK muone moto tutakaowawashia.Yule CAG wa awali alipogundua wizi wa trilioni 1.5 wakamtupia nje, huyu wa sasa ana bahati amewasilisha huu wizi chini ya rais tofauti.
Hawa jameni nchi yenyewe maskini halafu unaiba hela yote hiyo, utaua watu.
Mkuu unapoteza muda wako bure kumshambulia marehemu.Yaani akili yako ipo kama ya Tundu LissuHiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi.
Mkuu unapoteza muda wako bure kumshambulia marehemu.Yaani akili yako ipo kama ya Tundu Lissu
Magu has gone!ccm bado tupo
Akina nani haoSijamshambulia ila najikuta nikishangaa maana taarifa ni nyie mnazitoa na kuanika, sasa tusishangae habari zenu wenyewe?
Kumi na tanoSuluhu kumi tena
Tumia common sense mkuu, Hata jeshi la polisi liwe imara sana haiwezi kutokea kukakosekana matukio ya wizi, Ndivyo ilivyo huku, we do not tolerate corruption lakini haimaanishi kwamba kutakuwa hakuna correuption 100%, Ndio kazi ya cag kuripoti sehem ambazo zimepigwa pesa na kinachofata ni kuwashughulikia viongozi wa idara husika.Hiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi. Na hapo bado, mama ameamuru ukaguzi ufanywe BOT kila hela iliyotoka humo itolewe maelezo, ina maana madudu yatajitokeza kama yote.
Kwa makelele yote hayo ya marehemu Magufuli na tumbua zote zile bado hela ilikua inapigwa tena ndefu sana, hehehe Afrika bana, ukiingia Youtube hakuna msanii maarufu Tanzania ambaye hakuimba nyimbo za kumsifu Magufuli.
Binafsi namtakia kila la kheri huyu mama, naona sio mwenye majigambo na vijembe, anachimba kimya kimya, na labda kwa mfano wake wengine tunaweza tukaiga kumpigia kura kiongozi mwanamke kwenye mataifa yetu. Sema tu bado hajafanya kikubwa ndio mwanzo, maana hao hapo ameamrisha wakae pembeni uchunguzi ufanywe, hayo tumeyazoea, mpaka pale tutaona watu wananyea debe kwa ufisadi ndio tutakua na uhakika kwamba kuna cha maana kinatendeka.
Tumuombee na kutegemea atahamasisha mahusiano mema, hata body language inaonyesha alivyo mskivu na mkomavu
Tumia common sense mkuu, Hata jeshi la polisi liwe imara sana haiwezi kutokea kukakosekana matukio ya wizi, Ndivyo ilivyo huku, we do not tolerate corruption lakini haimaanishi kwamba kutakuwa hakuna correuption 100%, Ndio kazi ya cag kuripoti sehem ambazo zimepigwa pesa na kinachofata ni kuwashughulikia viongozi wa idara husika.
Kenya imejaa corrupt governent officials lakini sijui lini watu wametumbuliwa, Huku walijaribu kujitete wawe wanakuwa suspended kimya kimya wakidai eti ni uvunjaji wa haki za binadamu wao kutumbuliwa in public, Je walivyokuwa wanaiba walikuwa wanaiba kwa haki za binadamu 😂😂😂.
Ila its plain clear kwamba wakenya wanataka kiongozi ambaye ataanza kufukuza corrupt leaders, sio kuwakenulia meno tu 😂😂