Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
lakini sisi ni wamoja mkuu....Tumekataa kufanya Kazi na Kenya. Hats mjipendekeze namna gani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lakini sisi ni wamoja mkuu....Tumekataa kufanya Kazi na Kenya. Hats mjipendekeze namna gani.
Hiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi. Na hapo bado, mama ameamuru ukaguzi ufanywe BOT kila hela iliyotoka humo itolewe maelezo, ina maana madudu yatajitokeza kama yote.
Kwa makelele yote hayo ya marehemu Magufuli na tumbua zote zile bado hela ilikua inapigwa tena ndefu sana, hehehe Afrika bana, ukiingia Youtube hakuna msanii maarufu Tanzania ambaye hakuimba nyimbo za kumsifu Magufuli.
Binafsi namtakia kila la kheri huyu mama, naona sio mwenye majigambo na vijembe, anachimba kimya kimya, na labda kwa mfano wake wengine tunaweza tukaiga kumpigia kura kiongozi mwanamke kwenye mataifa yetu. Sema tu bado hajafanya kikubwa ndio mwanzo, maana hao hapo ameamrisha wakae pembeni uchunguzi ufanywe, hayo tumeyazoea, mpaka pale tutaona watu wananyea debe kwa ufisadi ndio tutakua na uhakika kwamba kuna cha maana kinatendeka.
Tumuombee na kutegemea atahamasisha mahusiano mema, hata body language inaonyesha alivyo mskivu na mkomavu
![]()
Hata Samia. Nae akiondoka YATASEMWA.
Ndio gharama za kuwa kiongozi, hauwezi ukaongoza watu milioni sitini bila kusemwa na kutukanwa, sasa lazima uonyeshe uvumilivu na ustahimilivu, sio kila anayebweka unamuondolea nje au kumtoa uhai.
Huyu Mama tayari mumeanza kumsema, kwenye uteuzi wake wa juzi wa makamu, kwamba huyo aliyeteuliwa ndiye alikua mratibu wa hazina kipindi hela zinapigwa.
Uongozi ni karama, haipo kwa kila mtu, mfano hai, najifahamu sina hiyo karama, mimi sipendi kusemwa au kushutumiwa, yaani nwaongoze muanze kuongea ongea aidha nitamwaga mboga na ugali vyote kisha niwaachie kila kitu au niwanyooshe nyote kwa mkono wa chuma. Hivyo siku zote huwa nakwepa chochote kinachonihitaji kuongoza binadamu.
Kwa hiyo ulitegemea kundi la Pili ambalo lilisema uchaguzi uliibiwa, au wanaosema hakuna kitu kinafanyika Tanzania wamsifie?.Ndio gharama za kuwa kiongozi, hauwezi ukaongoza watu milioni sitini bila kusemwa na kutukanwa, sasa lazima uonyeshe uvumilivu na ustahimilivu, sio kila anayebweka unamuondolea nje au kumtoa uhai.
Huyu Mama tayari mumeanza kumsema, kwenye uteuzi wake wa juzi wa makamu, kwamba huyo aliyeteuliwa ndiye alikua mratibu wa hazina kipindi hela zinapigwa.
Uongozi ni karama, haipo kwa kila mtu, mfano hai, najifahamu sina hiyo karama, mimi sipendi kusemwa au kushutumiwa, yaani nwaongoze muanze kuongea ongea aidha nitamwaga mboga na ugali vyote kisha niwaachie kila kitu au niwanyooshe nyote kwa mkono wa chuma. Hivyo siku zote huwa nakwepa chochote kinachonihitaji kuongoza binadamu.
Ninyi ni wanafiki sana, ngoja tufanye kazi na ndugu zetu wa damu kutokana SADC, uliona jinsi walivyokuja kwa wingi kumzika JPM na maneno waliyosema toka moyoni?lakini sisi ni wamoja mkuu....
BTW upotevu huo uligunduliwa chini ya JPM, Majaliwa alipoenda Bandarini! Utakuwa mjinga wa mwisho kuilinganisha Tanzania na Kenya kwenye ufisadi !
Sisi. hatukusema kwetu hakuna ufisadi....Nyinyi mlijidai eti kwenu kusafiiiii ..kumbe ufujaji umekithiri kichini chini
fedha za KEMSA Kshs7.8 bln ni ndogo sana!
Hiyo hela mbona ndefu sana, yaani ina maana haya yote yalitendeka chini ya uongozi wa marehemu Magufuli, yule humu mlitupigia makelele namna alivyokua amemaliza ufisadi. Na hapo bado, mama ameamuru ukaguzi ufanywe BOT kila hela iliyotoka humo itolewe maelezo, ina maana madudu yatajitokeza kama yote.
Kwa makelele yote hayo ya marehemu Magufuli na tumbua zote zile bado hela ilikua inapigwa tena ndefu sana, hehehe Afrika bana, ukiingia Youtube hakuna msanii maarufu Tanzania ambaye hakuimba nyimbo za kumsifu Magufuli.
Binafsi namtakia kila la kheri huyu mama, naona sio mwenye majigambo na vijembe, anachimba kimya kimya, na labda kwa mfano wake wengine tunaweza tukaiga kumpigia kura kiongozi mwanamke kwenye mataifa yetu. Sema tu bado hajafanya kikubwa ndio mwanzo, maana hao hapo ameamrisha wakae pembeni uchunguzi ufanywe, hayo tumeyazoea, mpaka pale tutaona watu wananyea debe kwa ufisadi ndio tutakua na uhakika kwamba kuna cha maana kinatendeka.
Tumuombee na kutegemea atahamasisha mahusiano mema, hata body language inaonyesha alivyo mskivu na mkomavu
![]()
Kweli kabisa.. TZ ina ufisadi wa hali ya juu sana kuliko kenyaBTW upotevu huo uligunduliwa chini ya JPM, Majaliwa alipoenda Bandarini! Utakuwa mjinga wa mwisho kuilinganisha Tanzania na Kenya kwenye ufisadi !
Kulingana na uchumi wa tz ulivyo mdogo...hiyo pesa ya TPA ni hela nyingi sana huko tz. hiyo ni mishahara ya walimu wote wa tz..madaktari na na jeshi....tsh3 bln ni ela ndogo sana compared to ile $3bln ya covd¹⁹!!
=1mln$ nahisi angekua kenya wangemsamehe na kumcheka kwa kuiba pesa ndogo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mathara ya kunywa supu kababe ya kiti-mtu.Ni kweli hakuna jamii isiyokua na ufisadi hata kule Marekani kwa wanaopenda kupiga makelele na wao hupiga hela tu, ila kwenu hapo zinatajwa mabilioni mpaka nachoka kuhesabu zeroes, mwaka juzi ilitajwa trilioni 1.5 mkamtupia nje CAG, jameni hivi unapiga trilioni kwa nchi maskini kama yenu si ndio unaiacha mifupa.
Nchi yenu kwa kweli mna uhimilivu wa hali ya juu, umaskini wote huo na bado mnapigwa hela ndefu lakini bado mpo mpo tu.