xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,379
tsh3 bln ni ela ndogo sana compared to ile $3bln ya covd¹⁹!!Ni kweli hakuna jamii isiyokua na ufisadi hata kule Marekani kwa wanaopenda kupiga makelele na wao hupiga hela tu, ila kwenu hapo zinatajwa mabilioni mpaka nachoka kuhesabu zeroes, mwaka juzi ilitajwa trilioni 1.5 mkamtupia nje CAG, jameni hivi unapiga trilioni kwa nchi maskini kama yenu si ndio unaiacha mifupa.
Nchi yenu kwa kweli mna uhimilivu wa hali ya juu, umaskini wote huo na bado mnapigwa hela ndefu lakini bado mpo mpo tu.
=1mln$ nahisi angekua kenya wangemsamehe na kumcheka kwa kuiba pesa ndogo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]