Mziki uleule DJ tofauti: Wakenya watamani uongozi wa TZ baada ya Rais Mama Samia kufukuza Mkurugenzi

tsh3 bln ni ela ndogo sana compared to ile $3bln ya covd¹⁹!!
=1mln$ nahisi angekua kenya wangemsamehe na kumcheka kwa kuiba pesa ndogo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
tsh3 bln ni ela ndogo sana compared to ile $3bln ya covd¹⁹!!
=1mln$ nahisi angekua kenya wangemsamehe na kumcheka kwa kuiba pesa ndogo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23]

Trilioni 1.5 ni hela ndogo???? Kwa hako kauchumi kenu ambako ni nusu ya uchumi wetu, sio ndio mnaua na kuacha mifupa tupu? Ndio maana omba omba wenu hawaishi kuja kutuzingua.
 
Trilioni 1.5 ni hela ndogo???? Kwa hako kauchumi kenu ambako ni nusu ya uchumi wetu, sio ndio mnaua na kuacha mifupa tupu? Ndio maana omba omba wenu hawaishi kuja kutuzingua.
the choice is yours either to stick with false accusations or otherwise!

aya em tuambie alokwapua 1.5trn?

NB:jf is the home of great thinkers
 
Sijamshambulia ila najikuta nikishangaa maana taarifa ni nyie mnazitoa na kuanika, sasa tusishangae habari zenu wenyewe?
Hiyo report imeandaliwa na mtu alieteuliwa na magu, magu akiwa hai ili magu aione. Tena imechelewa kusomwa sababu ya msiba wa magu. Sasa sijui kinachokuwasha ni nn hapo.
Yule cag mwingine muda wake wa kustaafu ulishafika, bado tu unapambana na maiti, hivi hukuona alivyoagwa, unadhani wote wale walikuwa wanamlilia for nuthn.
Samia anaendeleza alipoachia magu.
 
Huyo hawezi punguza uzwazwa, born and bred zwazwa.
 
the choice is yours either to stick with false accusations or otherwise!

aya em tuambie alokwapua 1.5trn?

NB:jf is the home of great thinkers

Sio kazi yangu hiyo, CAG alijaribu kuwasaidia kwa hizo trlioni mkagoma kumskliza na kumpiga chini.

Halafu kwa mlivyo majuha, eti mlikua mnapokea gawio la ATCL, hii ambayo inasemwa imekula hasara la 60b
Nyie watu bana...mnatia huruma
 
Hata kuhesabu zeroes za hiyo hela siwezi, aisei nyie ndio Wabongo kweli kweli.

mengine yanabaki kuwa siasa tu ndugu.liliishatokea sakata la upotevu wa tsh bln 360,tanzania ilisimama.

pesa ilibebwa na watuhumiwa mpaka kwenye mifuko ya magunia.
 
Yule CAG wa awali alipogundua wizi wa trilioni 1.5 wakamtupia nje, huyu wa sasa ana bahati amewasilisha huu wizi chini ya rais tofauti.
Hawa jameni nchi yenyewe maskini halafu unaiba hela yote hiyo, utaua watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo sentence ya mwisho imefanya nichekeke kwa sauti.....
.... ukitudhulumu hela na haki zetu sisi watanzania huwa tunasemelea kwa Mungu.....hakuna aliyewahi toka salama.
 
TOKA LINI MASKINI AKAMTISHIA TAJIRI
 
KIMYA KIMYA WAPI wakati kila mara tulimuona mitaani akiwika ...mkurugenzi yuko wapi....mkuu wa mkoa yuko wapi.... eleza pesa ziko wapi
 
Na Bado yanafukuliwa mengi.

Utasikia kafanya vitu vimeonekana hata kama kapiga ndio wimbo genge nufaika wameanza kuimba
 
Sijamshambulia ila najikuta nikishangaa maana taarifa ni nyie mnazitoa na kuanika, sasa tusishangae habari zenu wenyewe?
Kumbuka hizo taarifa za CAG hakutoa amri ya uchunguzi Suluhu hizo zimefanyika enzi za uhai wa Magu na zingesomwa tu na atua zingechukuliwa tena zingekua kali pengine kuliko hata hizi .sema wewe una Chuki tu na Magu kwani yeye ndio anawaambia waibe ? Yeye cku zote alikua hanaga mchezo na ufisadi au unazan huo uchunguzi kafanya Suluhu?
 
Chuki zipi, tunajadili taarifa zenu mnazozianika halafu unaanza kung'aka chuki, hata yule CAG wa kwanza alitumwa na Magu na alianika wizi wa trilioni 1.5 mkamfanyia figisu na kumtupia nje, huyu sasa angeanika huu wizi wa sasa hatujui mngemfanya nini.
Anyway, nimependa style ya huyu mama, kwanza naona kama kafanyiwa mentoring na JK, hata hotuba zake anatumia maneno kama "sisi", "serikali yetu", hivyo ndivyo JK alikua akitumia mara nyingi kuashiria teamwork, sio zle tambo za "serikali yangu" "mimi".
 
Tumekataa kufanya Kazi na Kenya. Hats mjipendekeze namna gani.
 
Baada ya Magufuli kufariki watu ndo wakajichotea mahela fasta but kwa vile Magufuli aliweka mifumo ya kueleweka ndio maana imekuwa rahisi mafisadi kukamatwa.
 
Baada ya Magufuli kufariki watu ndo wakajichotea mahela fasta but kwa vile Magufuli aliweka mifumo ya kueleweka ndio maana imekuwa rahisi mafisadi kukamatwa.

Ok maana kwamba huo wizi ulioanikwa na CAG ulitendeka baada ya umauti kumkuta JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…