Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

Mziki wa Bongo Fleva unaobamba sio wetu ni wa Afrika Kusini

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania.

Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano.

Na sidhani kama hili ni bahati mbaya, lazima kuna push behind. Diamond na Wasafi yake wasipokuwa monitored basi taifa hili litaendelea poteza identity. Ngoma zote, hiyo ya baba level, Zuchu sijui chapati na Naringa, zina sound South Africans' amapiano.

Najiuliza, Wasafi wanalipwa na nani kupoteza utambulisho wetu?

Wimbo mmoja tu wa Jay Dee ndio una sound different, hata sijui kama ndio sound yetu.

 
Sio mziki tu,huku kwetu kila kitu haiendi sawa. Kama tumeshindwa kusimamia jambo nyeti kama umeme tutaweza mziki kweli?
 
Back
Top Bottom