joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
"..wananchi wengi wanasema ahadi hiyo huenda ikasalia kuwa ndoto tuu"
For those Tanzanians that were asking about the progress of "ONLY BRT" marked roads your questions have been answered. Kenya have introduced new locally assembled BRT buses in Nairobi apposed to the imported one in most countries. View attachment 899744View attachment 899742View attachment 899743View attachment 899745
Kosa naloliona Kwa Tanzania ni moja wakati tuna jenga BRT 1 atukuwa Na mpango wa bwawa LA Umeme Ila BRT 2 ilitakiwa tunenge na njia ya Reli ya Umeme katikati ya brt ili future tuweze kutumia treni za mijini pia naomba wana jf tumshawishi magufuli kutambua ili jambo ni muhimu sana kiuchumi hivyo tuanzishe Uzi kabisa kuwa ujenzi wa bet 2 ,3,4,5 katikati kuweke njia za reli tusifanye kosaKenya is bankable they need around $300 mln to implement what Dar has done is doing so far! That is DART phase I n II!
Serikali ya Mkapa ilipofanya feasibilty study (2003) ya kupunguza msonganamo wa magari Dar, waliondoa mpango wa treni za umeme kutokana na gharama kuwa kubwa. BRT ina gharama ndogo sana kulinganisha na treni.Kosa naloliona Kwa Tanzania ni moja wakati tuna jenga BRT 1 atukuwa Na mpango wa bwawa LA Umeme Ila BRT 2 ilitakiwa tunenge na njia ya Reli ya Umeme katikati ya brt ili future tuweze kutumia treni za mijini pia naomba wana jf tumshawishi magufuli kutambua ili jambo ni muhimu sana kiuchumi hivyo tuanzishe Uzi kabisa kuwa ujenzi wa bet 2 ,3,4,5 katikati kuweke njia za reli tusifanye kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.Kosa naloliona Kwa Tanzania ni moja wakati tuna jenga BRT 1 atukuwa Na mpango wa bwawa LA Umeme Ila BRT 2 ilitakiwa tunenge na njia ya Reli ya Umeme katikati ya brt ili future tuweze kutumia treni za mijini pia naomba wana jf tumshawishi magufuli kutambua ili jambo ni muhimu sana kiuchumi hivyo tuanzishe Uzi kabisa kuwa ujenzi wa bet 2 ,3,4,5 katikati kuweke njia za reli tusifanye kosa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inagharama kubwa kuliko kununua ndege kama magufuli kaweza kununua ndege basi angeweza treni tena ukumbuke tunajenga treni ya Umeme tofauti na hizo study zilizo tushawishi tujenge ya mafutaSerikali ya Mkapa ilipofanya feasibilty study (2003) ya kupunguza msonganamo wa magari Dar, waliondoa mpango wa treni za umeme kutokana na gharama kuwa kubwa. BRT ina gharama ndogo sana kulinganisha na treni.
Ndiyo inawezekana tena ingekuwa very good tukiona brt inatatiza tuna switch treni ya umemeMkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli treni lina faida kuliko mabasi sababu alitumii matairi ya kawaida ivyo tunge jenga kabisa ili bwawa la Umeme likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka treni za Umeme hiyo kupunguza gharama za mafuta na uchafuzi wa mazingiraMkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi nyingi zinafanya hivi.Mkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
BRT siyo mpango wa awamu ya tano, kila kitu kilifanywa na Mkapa, Kikwete akaja kutekeleza tuu. Na kwa wakati huo ilionekana BRT ndiyo njia sahihi. Sasa Magu hawezi kuubadilisha mradi ukiwa katikati bila sababu ya msingi.Inagharama kubwa kuliko kununua ndege kama magufuli kaweza kununua ndege basi angeweza treni tena ukumbuke tunajenga treni ya Umeme tofauti na hizo study zilizo tushawishi tujenge ya mafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujuaji tram zitajengwa ila si kwenye BRT! Huwezi kuchanganya namna hiyo esp. now at phase II!Ukweli treni lina faida kuliko mabasi sababu alitumii matairi ya kawaida ivyo tunge jenga kabisa ili bwawa la Umeme likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka treni za Umeme hiyo kupunguza gharama za mafuta na uchafuzi wa mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili linatakiwa magufuli na wizara ilione haraka tena haraka sana inatakiwa tutengeneze matumizi yenye tija ya bwawa letu la umemeNchi nyingi zinafanya hivi.
Au tukuwekee na picha uone kabisa.
Kiufupi kwenye njia ya brt inatakiwa iwekwe reli.
Hata sasa hivi inawezekana kabisa
Wewe ndiyo ujui wakati tunapanga mfumo wa brt hakukuwa na mpango wa bwawa la Umeme .pia simaanishi lazima tuchanganye bali namaanisha tujenge njia za tram kabisa ili tusije tukaanza kubomoa barabara kuweka njia za tramWacha ujuaji tram zitajengwa ila si kwenye BRT! Huwezi kuchanganya namna hiyo!
Magu hataweza. Ni very expensiveHili linatakiwa magufuli na wizara ilione haraka tena haraka sana inatakiwa tutengeneze matumizi yenye tija ya bwawa letu la umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi nyingi zinafanya hivi.
Au tukuwekee na picha uone kabisa.
Kiufupi kwenye njia ya brt inatakiwa iwekwe reli.
Hata sasa hivi inawezekana kabisa
Sababu za msingi kivipi wewe uoni sgr ilikuwaje mpango wa bwawa la Umeme linalojengwa ni sababu kuu ya msingi ,sababu nyingine kujenga njia ya tram hakuzuhii brt maana atutaweka Umeme ila reli na pole za Umeme tu yaani nguzo mambo mengine tunaendelea nayo baadae bwawa likikamilika wacheni ubishi wa kipumbavuBRT siyo mpango wa awamu ya tano, kila kitu kilifanywa na Mkapa, Kikwete akaja kutekeleza tuu. Na kwa wakati huo ilionekana BRT ndiyo njia sahihi. Sasa Magu hawezi kuubadilisha mradi ukiwa katikati bila sababu ya msingi.