Mzimu wa BRT wazidi kuwatesa Wakenya, viongozi waendelea kutoa ahadi hewa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Baada ya kupaka rangi barabara miaka miwili nyuma na kuwaambia wakenya kwamba mabasi toka Afrika ya kusini yangeanza kutoa huduma kuanzia "March 2019, sasa James Macharia amekuja na "tantalila" zingine mpya kabisa.

James Macharia yule yule aliyesema wataweka umeme katika SGR ifikapo 2019, yule yule aliyesema SGR itatengeneza faida mara tu baada ya kuanza kubeba mizigo, yule yule aliyesema reli itafika Kisumu na Malaba.

Mungu wasaidie Wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya is bankable they need around $300 mln to implement what Dar has done is doing so far! That is DART phase I n II!
Kosa naloliona Kwa Tanzania ni moja wakati tuna jenga BRT 1 atukuwa Na mpango wa bwawa LA Umeme Ila BRT 2 ilitakiwa tunenge na njia ya Reli ya Umeme katikati ya brt ili future tuweze kutumia treni za mijini pia naomba wana jf tumshawishi magufuli kutambua ili jambo ni muhimu sana kiuchumi hivyo tuanzishe Uzi kabisa kuwa ujenzi wa bet 2 ,3,4,5 katikati kuweke njia za reli tusifanye kosa

Serikali ya Mkapa ilipofanya feasibilty study (2003) ya kupunguza msonganamo wa magari Dar, waliondoa mpango wa treni za umeme kutokana na gharama kuwa kubwa. BRT ina gharama ndogo sana kulinganisha na treni.

Unajuwa kwenye kuwekeza kwenye mifumo ya treni ni kama kununua mifumo ya silaha kutoka nchi fulani, kila kitu unawategemea waliokuuzia. Wakati BRT ni mabasi tuu ya kawaida, unaweza hata kuyaunga mwenyewe.
 
Kosa naloliona Kwa Tanzania ni moja wakati tuna jenga BRT 1 atukuwa Na mpango wa bwawa LA Umeme Ila BRT 2 ilitakiwa tunenge na njia ya Reli ya Umeme katikati ya brt ili future tuweze kutumia treni za mijini pia naomba wana jf tumshawishi magufuli kutambua ili jambo ni muhimu sana kiuchumi hivyo tuanzishe Uzi kabisa kuwa ujenzi wa bet 2 ,3,4,5 katikati kuweke njia za reli tusifanye kosa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Mkapa ilipofanya feasibilty study (2003) ya kupunguza msonganamo wa magari Dar, waliondoa mpango wa treni za umeme kutokana na gharama kuwa kubwa. BRT ina gharama ndogo sana kulinganisha na treni.
Inagharama kubwa kuliko kununua ndege kama magufuli kaweza kununua ndege basi angeweza treni tena ukumbuke tunajenga treni ya Umeme tofauti na hizo study zilizo tushawishi tujenge ya mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona sikuekewi?, yaani barabara moja iwe na usafiri wa BRT na reli kwa pamoja?, hakuna nchi yoyote duniani inayofanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli treni lina faida kuliko mabasi sababu alitumii matairi ya kawaida ivyo tunge jenga kabisa ili bwawa la Umeme likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka treni za Umeme hiyo kupunguza gharama za mafuta na uchafuzi wa mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inagharama kubwa kuliko kununua ndege kama magufuli kaweza kununua ndege basi angeweza treni tena ukumbuke tunajenga treni ya Umeme tofauti na hizo study zilizo tushawishi tujenge ya mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
BRT siyo mpango wa awamu ya tano, kila kitu kilifanywa na Mkapa, Kikwete akaja kutekeleza tuu. Na kwa wakati huo ilionekana BRT ndiyo njia sahihi. Sasa Magu hawezi kuubadilisha mradi ukiwa katikati bila sababu ya msingi.
 
Ukweli treni lina faida kuliko mabasi sababu alitumii matairi ya kawaida ivyo tunge jenga kabisa ili bwawa la Umeme likikamilika tunaondoa mabasi tunaweka treni za Umeme hiyo kupunguza gharama za mafuta na uchafuzi wa mazingira

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha ujuaji tram zitajengwa ila si kwenye BRT! Huwezi kuchanganya namna hiyo esp. now at phase II!
 
Wacha ujuaji tram zitajengwa ila si kwenye BRT! Huwezi kuchanganya namna hiyo!
Wewe ndiyo ujui wakati tunapanga mfumo wa brt hakukuwa na mpango wa bwawa la Umeme .pia simaanishi lazima tuchanganye bali namaanisha tujenge njia za tram kabisa ili tusije tukaanza kubomoa barabara kuweka njia za tram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BRT siyo mpango wa awamu ya tano, kila kitu kilifanywa na Mkapa, Kikwete akaja kutekeleza tuu. Na kwa wakati huo ilionekana BRT ndiyo njia sahihi. Sasa Magu hawezi kuubadilisha mradi ukiwa katikati bila sababu ya msingi.
Sababu za msingi kivipi wewe uoni sgr ilikuwaje mpango wa bwawa la Umeme linalojengwa ni sababu kuu ya msingi ,sababu nyingine kujenga njia ya tram hakuzuhii brt maana atutaweka Umeme ila reli na pole za Umeme tu yaani nguzo mambo mengine tunaendelea nayo baadae bwawa likikamilika wacheni ubishi wa kipumbavu
Ujio wa bwawa la nyerere game kuchenji ilibidi masahihisho haya yafanyike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom