joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Baada ya kupaka rangi barabara miaka miwili nyuma na kuwaambia wakenya kwamba mabasi toka Afrika ya kusini yangeanza kutoa huduma kuanzia "March 2019, sasa James Macharia amekuja na "tantalila" zingine mpya kabisa.
James Macharia yule yule aliyesema wataweka umeme katika SGR ifikapo 2019, yule yule aliyesema SGR itatengeneza faida mara tu baada ya kuanza kubeba mizigo, yule yule aliyesema reli itafika Kisumu na Malaba.
Mungu wasaidie Wakenya.
Sent using Jamii Forums mobile app