gentleman pole sana,Mtasubiri sana Chadema kufa. Ccm kila mwaka mnalikoroga mara mikataba, mara tozo, mara wamasai, mara chura kiziwi, mara tukiwapoteza msituulize, mara tukishamaliza kuiba kura tunamwambia Mungu atusamehe nk nk nk.......... Wananchi wamechoka. Najua unajua ila unajitoa ufahamu!
nakuombea kwa Mungu uondokane na Roho ya mauti, usiwe unawaza masuala ya kufa kufa...Chadema ikitikisika na kufa si ndiyo jambo la kheri kwenu wana CCM sasa mbona upambe mwingi ndugu
kama ilivyo kwa wale wa COVID-19, chedema hudai kwamba hawana impact yoyote ndani ya chadema lakini ndio habari mjini na hoja kuu kila mara kamati kuu ya Chadema inapokutana...Msibwa hana impact kubwa kwa siasa za Tanzania, ni kweli alikuwa na vyeo vingi CDM ila nguvu ya Mamba siku zote ni kwenye maji akiwa nje ya maji nguvu inapungua. CCM wanamtumia msigwa kama toilet paper, wakimaliza issue zao wanamtumbukiza kwenye dustbin kazi imeisha.
COVID 19 wana impact kubwa kwa siasa za Tanzania kwa sababu wana faida kwa Taifa. Sababu kubwa pamoja Bunge ni la chama kimoja lakini kwa kuwepo wao jumuia za kimataifa linajua kuwa Bunge letu ni la vyama vingi. Pia COVID 19 ndiyo inasidia kwa kiasi kikubwa kwa sasa CDM kuwa na nguvu kwani wana pata rudhuku ya serkari kila mwezi zaidi ya milioni 100.kwahiyo CoVID 19 isiwalinganishe na msigwa.kama ilivyo kwa wale wa COVID-19, chedema hudai kwamba hawana impact yoyote ndani ya chadema lakini ndio habari mjini na hoja kuu kila mara kamati kuu ya Chadema inapokutana...
na msigwa sasa ndio pasua kichwa kila moja chadema anaskia baridi 🐒
alaa alaaa alaaaaaah 🐒COVID 19 wana impact kubwa kwa siasa za Tanzania kwa sababu wana faida kwa Taifa. Sababu kubwa pamoja Bunge ni la chama kimoja lakini kwa kuwepo wao jumuia za kimataifa linajua kuwa Bunge letu ni la vyama vingi. Pia COVID 19 ndiyo inasidia kwa kiasi kikubwa kwa sasa CDM kuwa na nguvu kwani wana pata rudhuku ya serkari kila mwezi zaidi ya milioni 100.kwahiyo CoVID 19 isiwalinganishe na msigwa.
Hajui kuwa CHADEMA waliondoka Zito kabwe, Slaa, Mashinji, Sumaye, Lowasa, Nyalandu, Laurence Masha, na wengine wengi ambao walikua Very senior, yeye anaamka asubuhi hata chai hajui kama atakunywa anakuja na thread za Msigwa ambaye hakua hata na cheo.....
zingatia tahadhari na umakini wa maelezo, ufafanuzi, body languages, tones na facial expressions miongoni mwa waandamizi hasa kamati kuu wanavyoteseka ndani ya chadema, kisha utagunfua maumivu makali wanayoputia...
wengi wao ni kama vile wako njiani au kwenye maandalizi ya mwisho kumjoin, i think ni suala la muda tu
ngazi za wap gentleman 🤣Uzuri wa CDM iko ngazi ya tasisi na si mtu moja mmoja.
Waulize waliotoka watakwambia hata huyo Msigwa anajua kuwa baada ya siku kama 60 hatakuwa na la kuisema CDM labda kurudia rudia aliyokwisha sema.
Chadema wenyewe wako busy na mambo menginehofu imetanda chadema..
tahadhari ni kubwa, kuna kwamba kuna uwezekana wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon...
imefikia mahali,
kila kiongozi mwandamizi wa chadema hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari sana kila anapokutana na wana habari...
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa..
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
nawatakia maandalizi mema ya uchaguzi serikali za mitaa🐒
Unajua sana kuwazubaisha watu, but not me. Punguza sana kuanzisha nyuzi random ambazo hazina maana yoyote ili watu waacha kujadili masuala ya msingi ya nchi hiiHofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
ndio maana wanamjibu msigwa kwa tahadhari na umakini mkubwa sana sio gentleman?Chadema wenyewe wako busy na mambo mengine
Unajua sana kuwazubaisha watu, but not me. Punguza sana kuanzisha nyuzi random ambazo hazina maana yoyote ili watu waacha kujadili masuala ya msingi ya nchi hii
Ulikuwa unamjua Soka wakati Dr Slaa anajiuzulu?Hofu imetanda CHADEMA
tahadhari ni kubwa, kana kwamba kuna uwezekano wa muandamizi mwingine akawa anajiandaa kuachia ngazi na kubwaga manyanga chamani soon.
Imefikia mahali, kila kiongozi mwandamizi wa CHADEMA hivi sasa anaweweseka kwa kumzungumzia Mchungaji Peter Msigwa kwa tahadhari, nidhamu na umakini sana kila anapokutana na wana habari.
cha kushangaza zaidi ni pale mkurugenzi wa Itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema John Mrema, anadai msigwa hana hadhi ya kujibiwa na chadema, huku yeye mwenywe Mrema akiwa ana mzungumzia na kumjibu huyo huyo Msigwa, maswala mbalimbali ambayo amekua akiyaibua dhidi ya chadema dhaifu...
sasa sijui hii ndio ile kitu inaitawa confuser and confused are confusing each other, right?
Nawatakia maandalizi mema ya Uchaguzi Serikali za Mitaa🐒
Per your information unless ni chawa hakuna anachukulia random news zako serious. Nchi ina mambo mengi muhim yanayoendelea now na msigwa si jambo muhimndio maana wanamjibu msigwa kwa tahadhari na umakini mkubwa sana sio gentleman?
kama hili sio jambo la maana unababaika nini sasa,si usonge na yale unayoona ni muhimu na ya msingi....
for your information,
chadema hapako sawa kuna mwamba anaachia ngazi anytime soon 🐒
kipindi hicho chadema wanamuita Hayati E.N.Lowasa fisadi au?Ulikuwa unamjua Soka wakati Dr Slaa anajiuzulu?
🤣 actually nadhani muhimu zaidi ni hofu iliotanda kamati kuu Chadema, unadhani kwanini hawaaminiani?🐒Per your information unless ni chawa hakuna anachukulia random news zako serious. Nchi ina mambo mengi muhim yanayoendelea now na msigwa si jambo muhim