Pre GE2025 Mzimu wa Msigwa waitesa CHADEMA hofu ya gharika nyingine kutokea yatanda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM kaachia Katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti mbona husemi wewe chawa?
 
kipindi hicho chadema wanamuita Hayati E.N.Lowasa fisadi au?

halafu tena ghafla ufisadi ukapotea akapewa ujumbe wa kamati kuu na nafasi ya kugombea urais kabisaaaa au ?[emoji1787]

si ndio kipindi hiki unazungumzia, right?[emoji205]

Baada ya hapo akazikwa kwa heshima zote za kitaifa na mizinga kama yote.
Think twice before you lip.
 
Shule shule shule
Remember without challenge your scale of deeds become domant and finally extinct.
maana conclusions za kwenye mijadala ya vijana wengi wa hicho unachoita chuo ni mihemko na kuporomosha matusi tu, au nasema urongo ndrugo zango?πŸ’

ndiyo!
eleze ukweli basi kama si hivyo?...
 
Baada ya hapo akazikwa kwa heshima zote za kitaifa na mizinga kama yote.
Think twice before you lip.
ndio maana nasema hapana utulivu chadema, hofu ni kubwa, no trust to each other,

hata kumjibu msigwa ambae yupo nje ya Chadema ni kwa umakini na tahadhari ya kiwango cha juu sana....

who is next to join msigwa CCM? John Myika or Heche?🀣
 
Nikidhani anaye-comment amenda shule na kujua maana ya tasisi kumbe daaahh ndo kaanza chekechea.
sio kitega uchumi cha mtu kile?πŸ’,

acheni utani na investments au biashara za watu tahadhali....

eti taasisi 🀣
 
Mwandishi ni msigwa mwenyewe!
Ila kiukweli msigwa hakuwa na umaarufu wowote CDM!
Yeye ndie alikuwa anatembelea NYOTA ya CDM
Kama huamini basi sasa ndio mwisho wake
actually unaweza kua uko sahihi kwamba msigwa hakua maarufu chadema,

but truely,
the gentleman was very powerful individual within chadema, hasa kamati kuu...

hii hofu iliotanda kamati, tahadhari na umakini kwenye kumjibu msigwa unatoka wapi sasa kwa miongoni mwa viongozi waandamizi wa Chadema?πŸ’
 
ni muhimu sana vijana kupiga kazi,

lakini ni jambo la maana sana kushiriki kikamilifu katika masuala ya siasa na uongozi. hili halikwepeki...

it once said,
if you don't want to part in political administrations don't blame to be ruled by a fool πŸ’
 

siku hizi uchawa umezidi kuliko kushiriki katika siasa. hata wewe ni chawa tu huna lolote kwenye siasa.
Kushiriki kwenye siasa ni kudai haki pale panapostahili na kupongeza pale panapostahili leo hii hakuna mwan ccm atadai haki na wala hakuna mpinzani atapongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…