Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

Klabu ya Yanga imewapa taarifa Kwa barua rasmi wachezaji wake wawili Clement Mzize pamoja Aziz ki kuwa watakuwa sokoni mwishoni mwa msimu huu

Mzize mwenye miaka 21 ametakiwa na club ya Wydad ambayo ilituma offer ya billion 2.5 ambapo Yanga ilipuuza offer hiyo
Leo mchana timu ya Al Ahly Tripoli ya Libya imeta offer ya billion 4 na baadaye timu ya Saidia imetuma offer ya billion 5
Mzize pia anahitajika na timu ya Burnley na Olympic Marseille ya France

Kwa mauzo hayo Clement Mzize atakuwa amevunja record ya kuwa mchezaji ghali ukanda huu wa CECAFA

Kweli Eng Hersi ni brain
Haya matango pori inafaa kumsimulia mkeo mkiwa chumbani baada kumdinya..
 
Screenshot_20241207-145912~2.jpg
 
Watanzania mnajishusha sana humu...jamaa kaleta habari hamuiamini, lkn habari Hy Hy akiandika mwingine mnaiamini
 
Mzize anayekimbia kama robot???? Halafu huo umri ni ule ule wa kiafrika.
 
Kwani ao wenye mapesa Hawa waoni Kibu au Ateba, wachezaji ambao kugeuka mpaka wakate Kona!!
 
baadaye timu ya "Saidia" imetuma offer ya billion 5.

Source?
 
Kwani ao wenye mapesa Hawa waoni Kibu au Ateba, wachezaji ambao kugeuka mpaka wakate Kona!!
Hahah. Hao Kibu na Ateba wanafukuzia kiatu cha CAF siyo tu cha ufungaji bora ila pia cha goli bora.

Msimu ukiisha mtauza wachezaji wenu wote tena kwa bei ya pilipili hoho.
 
Back
Top Bottom