Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

Mzize kuvunja record ya usajili Kwa wachezaji wa kitanzania

Qmamamamamamake kuna mizize wangapi kwani? Mnanichanganya mjuwe mzize huyuhuyu au?
 
Atuwezi kuuza mchezaji yoyote kwenye dirisha hili dogo,,timu inapambania ubingwa wa ligi kuu na FA, wachezaji hao watawekwa sokoni mwisho wa msimu,,Kila klabu Ina vipaumbele vyake na mipango yake,,
 
Back
Top Bottom