Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Hakuna uhusiano kati ya dini ya mtu na kiwango ninachoona ni kawaida tu ya wachezaji wa kibongo Huwa mnapenda kuwapaisha sana ili Hali hamna kitu.
Wewe wasema
Uko sahihi kiongozi hata Mike Tyson alipobadili dini akawa unga kweli kweli mpaka Leo amekuwa kama zezeta
mwakani atajikutabi
Moderator Moderator fungia huu uzi ni wa kichochezi,na kibaguzi haufai......hatutaki udini katika sports
acha kubinya uhuru wa kuongea
 
Screenshot_20230430-171538.png
 
Hivi huyu dogo Mzize amewahi kuwa super striker lini? Mimi nawaangalia tu mnavyomkuza kuliko uwezo wake. Kwa ufupi huyu anazidiwa hata na yule dogo wa Simba anayetokea Zanzibar (Mohammed nani sijui yule), pamoja na kwamba wanaweza wasiwe wanacheza position moja.
 
Wewe wasema

mwakani atajikutabi

acha kubinya uhuru wa kuongea
Acha upuuzi,wewe umeona nani anaweka post za kucrash dini ya mtu humu?????

Uhuru usizidi mipaka,sisi ni wamoja usitake tuanze kutofautiana kwa ujinga wako
 
Back
Top Bottom