Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Amedanganywa na Waarabu Mchwara wa GSM dogo kavaa Kobazi na Nyota imeongezewa kwa Mwamnyeto Mtoto wa Buguruni Tanga.
Hapo Kariakoo Wayemen wameshagundua ngozi nyeusi inapenda ngozi nyeupe wanaenda kuokota mabinti choka mbaya huko Yemen kuwaleta bongo kama wafanyakazi wao kisha kuwatumia kama chambo cha kunasa watu kwenye dini.

Waha na Wahehe wengi sana wameuingia huo mkenge but huwa wanaishi pamoja miaka mitatu minne wanaachana unashangaa unakutana nao tena kwenye dini zao za mwanzo.
 
Huko kwenye dini zenu mpaka kudanganya mnaruhisiwa alimradi dini imesimama?hao uliowataja hapo mbona uki-search maisha yao unakutana na uhalisia wao?
View attachment 2606712View attachment 2606714View attachment 2606715
Nachelea kusema ni tatizo la lugha but siku hizi kuna apps za ku-translate inakuletea hata kwa Kiswahili zitumie hizo ili uweze kujenga hoja jadifu siyo mfu.
Ndomana mpaka Leo wanadai Michael Jackson alikuwa mvaa kobazi lakini chakushangaza alizikwa kikristu.
 
Wakristo wa Jf ni wajinga na wapumbavu pro max yani kila siku chuki chuki chuki tuuu

Mtahangaika sanaaa chuki zitakuueni izo
 
Hapo Kariakoo Wayemen wameshagundua ngozi nyeusi inapenda ngozi nyeupe wanaenda kuokota mabinti choka mbaya huko Yemen kuwaleta bongo kama wafanyakazi wao kisha kuwatumia kama chambo cha kunasa watu kwenye dini.

Waha na Wahehe wengi sana wameuingia huo mkenge but huwa wanaishi pamoja miaka mitatu minne wanaachana unashangaa unakutana nao tena kwenye dini zao za mwanzo.
Una akili za kipumbavu kwani wao wakibadili dini si maisha yao ww inakuhusu nn?
Au wakibadili dini huwa wanakufuata nyumbani kwako kukurazimisha na ww na watoto wako kubadili dini kama wao?

Alafu na ww utakuta ujiita baba.
 
Hivi huyu dogo Mzize amewahi kuwa super striker lini? Mimi nawaangalia tu mnavyomkuza kuliko uwezo wake. Kwa ufupi huyu anazidiwa hata na yule dogo wa Simba anayetokea Zanzibar (Mohammed nani sijui yule), pamoja na kwamba wanaweza wasiwe wanacheza position moja.

Uko sawa
 
Alibadili DINI na kuwa muislamu.
Baadaye sijui nini kilimpata Akarudi kwenye Imani yake ya ukriso
Alikanusha, ni waisilamu tu walitaka sifa. Alipowatembelea kijijini alivaa mavazi kama yao, wakaanzisha nyuzi kuwa amewafuata dini

1683019447101.png
 
Back
Top Bottom