Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Mzize toka abadili dini kiwango kimeisha

Kijana Ni mchezaji mzuri tu
Hata kupata nafasi ya kukosa goli Ni kuonesha kuwa anajua
Ukiwa uwanjani utajua nafasi ya ushambuliaji Ni ngumu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tate yupo kizuizini , muislamu anauza binadamu alafu pia ni pedophile

Kamuiga u pedophile Muhammad wakamuweka ndani

Na wewe jaribu u pedophile nikisha kuahidi sime itapitia makende
Amesilimu akiwa na kesi😂😂
 
ingekua dini ndo inasababisha mchezaji awe na kiwango kizuri na afunge magoli wachezaji wangekua wanashinda kanisani na siyo kwenye mazoezi
Hakuna mkristu akiyebadili dini kisha akabaki salama ndomana wengi huwa wanarudi!.
 
Toto jinga sana ilo ata kulenga tu goli kipa adake limeshindwa
 
1.Tyson alivyobadili DINI akataka Hadi KUBADILI Jinsia.
Alitaka kujiweka papuchi.

2. Drogba alivyobadili DINI anatuhumiwa kuhusika na vitendo vya Upinde..........

3. Mzinze Bye bye........

MRUDIE MUNGU WAKO DOGO
Drogba sio Muslim
 
Basi acha kushibikia simba na yanga maana waanzilishi na wamiliki wake ni waislam.
 
Shomari kapombe kabadili dini kuwa mkristo...lakini huwezi kuona muislam anamletea chuki za kidini Shomari Kapombe....
Jina ndio limekupumbaza ila wala hajawai kua Islamic
 
Mbona akina Mbape ,Pogba,Ngoro Kante wamebadili dini na kuwa waisilam na bado hakuna lililo watokea punguzeni upumbavu.
Mbappe hajawahi kusema yeye ni Muislamu. Baba yake ni Mkristo na mama yake Muislamu. Hajawahi kuweka wazi imani yake. Ngolo Kante hajawahi kuwa Mkristo. Usiongopee watu.
 
Mbappe hajawahi kusema yeye ni Muislamu. Baba yake ni Mkristo na mama yake Muislamu. Hajawahi kuweka wazi imani yake. Ngolo Kante hajawahi kuwa Mkristo. Usiongopee watu.
Mbape ni muislam na karibia kila mwaka huwa naenda Maka kufanya ibada ya umra.
Kwa hiyo na ww unaamini kuwa mtu akibadili dini basi analaaniwa akili za kipumbavu hizi.
 
Back
Top Bottom