Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukija kufahamu kuwa Ukristo ndo ilikuwa sahihi alafu umeshachelewa, sipati picha utalia kilio gani
Bado hoja za kitoto sana yaani bado una utoto eti kutumia jina la Allah😂😂hamna uncertainty kweny dini ...kwani nimesama nn au nimeleta uzi wa wale waliuliwa na wachungaji ?Hivi ukija kufahamu kuwa Ukristo ndo ilikuwa sahihi alafu umeshachelewa, sipati picha utalia kilio gani
Hakuna certainty kwenye dini yoyote, nikisema kwenye dini ya Kiislamu watu wanawaua wenzao, utakataa? Tena wanatumia dini ya Kiislamu na wakichinja wanatumia jina Takatifu la "Allah " wakisema "Allah Akbar" je ufapinga?
Usijudge Ukristo ni ushetani kwa kuangalia baadhi ya Wakristo wanafanya nini, maana sio Kila Mkristo ni halisi.
I rest my case.
Christianity is not Satanism.
Una uhakika,?Shomari kapombe kabadili dini kuwa mkristo...lakini huwezi kuona muislam anamletea chuki za kidini Shomari Kapombe....
Siwezi mfuata Andrew Tate ambaye bado ana kesi ya ubakaji na usafirishaji haramu wa binadamu Romania.Bado hoja za kitoto sana yaani bado una utoto eti kutumia jina la Allah😂😂hamna uncertainty kweny dini ...kwani nimesama nn au nimeleta uzi wa wale waliuliwa na wachungaji ?
Mfuata adrew tate akueleze huyp aliyetoa hoja ni mkristo kwamba hata Tate nae kasilimu
Mbona unaongea vitu havipo.!!
hii wanaipita kimyakimya [emoji2]Tyson akawa muisilamu halafu akaanza kulima bangi
Kwani ana dini mbili au ya zamani kaachana nayo?mwili mmoja hauwezi kubeba dini mbili...
Ana mashamba ya bangi aisee.Uko sahihi kiongozi hata Mike Tyson alipobadili dini akawa unga kweli kweli mpaka Leo amekuwa kama zezeta
Sasa mbona unakurupuka sana 😂😂 angalia lengo la uzi ...Hao mashetani ukiwa wasaliti lazima wakupe kesi😂🔥ila ukweli ni kwamba huo ni ukafiriSiwezi mfuata Andrew Tate ambaye bado ana kesi ya ubakaji na usafirishaji haramu wa binadamu Romania.
Mimi nitamsikiliza Yesu Kristo tu ambaye hakuwahi kufanya kosa lolote hapa duniani, hakuwahi kuua mtu.
bodaboda Mzizealibadili dini kisa demu...mpumbavu yule
KaiachaKwani ana dini mbili au ya zamani kaachana nayo?
No GSM alimshawishialibadili dini kisa demu...mpumbavu yule
dini inamponzaMzinze Ana nguvu sawa , Ana bidii ya kupambana sawa, anatakiwa apate kocha wa ushambuliaji amfundishe namna ya kutulia na kufungua magoli .
Nabi kazi yake ni kutengeneza mfumo wa timu nzima hana muda wa kufundisha ufungaji