Hapo Kariakoo Wayemen wameshagundua ngozi nyeusi inapenda ngozi nyeupe wanaenda kuokota mabinti choka mbaya huko Yemen kuwaleta bongo kama wafanyakazi wao kisha kuwatumia kama chambo cha kunasa watu kwenye dini.Amedanganywa na Waarabu Mchwara wa GSM dogo kavaa Kobazi na Nyota imeongezewa kwa Mwamnyeto Mtoto wa Buguruni Tanga.
Ndomana mpaka Leo wanadai Michael Jackson alikuwa mvaa kobazi lakini chakushangaza alizikwa kikristu.Huko kwenye dini zenu mpaka kudanganya mnaruhisiwa alimradi dini imesimama?hao uliowataja hapo mbona uki-search maisha yao unakutana na uhalisia wao?
View attachment 2606712View attachment 2606714View attachment 2606715
Nachelea kusema ni tatizo la lugha but siku hizi kuna apps za ku-translate inakuletea hata kwa Kiswahili zitumie hizo ili uweze kujenga hoja jadifu siyo mfu.
Thread za kipumbavuNi kama laana sijui
Hajafunga toka muda ule
Anaruka ruka uwanjani
Anabaki na kipa anakosa
Mbona akina Mbape ,Pogba,Ngoro Kante wamebadili dini na kuwa waisilam na bado hakuna lililo watokea punguzeni upumbavu.
Huwezi kuwa bora muda woteNi kama laana sijui
Hajafunga toka muda ule
Anaruka ruka uwanjani
Anabaki na kipa anakosa
Una akili za kipumbavu kwani wao wakibadili dini si maisha yao ww inakuhusu nn?Hapo Kariakoo Wayemen wameshagundua ngozi nyeusi inapenda ngozi nyeupe wanaenda kuokota mabinti choka mbaya huko Yemen kuwaleta bongo kama wafanyakazi wao kisha kuwatumia kama chambo cha kunasa watu kwenye dini.
Waha na Wahehe wengi sana wameuingia huo mkenge but huwa wanaishi pamoja miaka mitatu minne wanaachana unashangaa unakutana nao tena kwenye dini zao za mwanzo.
Vip kuhusu Ditram Nchimbi na Mpole ambao hawajawah kubali dini wako wapi sasa hivi?Pogba yuko wapi? Kante je sikuhizi anacheza nini.
Kweli kabisa.Ni kama laana sijui
Hajafunga toka muda ule
Anaruka ruka uwanjani
Anabaki na kipa anakosa
Hivi huyu dogo Mzize amewahi kuwa super striker lini? Mimi nawaangalia tu mnavyomkuza kuliko uwezo wake. Kwa ufupi huyu anazidiwa hata na yule dogo wa Simba anayetokea Zanzibar (Mohammed nani sijui yule), pamoja na kwamba wanaweza wasiwe wanacheza position moja.
Alikanusha, ni waisilamu tu walitaka sifa. Alipowatembelea kijijini alivaa mavazi kama yao, wakaanzisha nyuzi kuwa amewafuata diniAlibadili DINI na kuwa muislamu.
Baadaye sijui nini kilimpata Akarudi kwenye Imani yake ya ukriso
AahaaaaaaLeo Dogo karudi huku na kafunga.[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2609742
Chuki zenu wabongo. Leo kafunga sasaana 5 goalsHuyo jamaa hajawahi kuwa mkali, ila ni suala la muda tu, atajitafuta, atajipata na atakuwa tishio la hatari ikiwa atakaza buti na kupasua miamba