Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Sijui wamekuelewa?
 
Chama anang'ara akicheza na timu ndogo au dhaifu, akikaa na vidume anaufyata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi mko kwa pacome. Hadi mtafika kwa Diarra.
 
Ongezaaa sautiiiii.
Aongeze sauti mchezaji mwenye class anaishia kucheza Simba hata pekee, hata tetesi za kutakiwa na timu kubwa hakuna. Aisee ushabiki ni tatizo
 
Chama anawatesa sana.
Mbona sisi hatuna muda wa kumjadili mchezaji wa utopolo?
 
Ukiangalia takwimu zilizo, unaona kuna mmoja ana muendelezo na mwingine hana muendelezo anapanda na kushuka panda na kushuka. Pacome kawa na muendelezo katika kiwango chake
 
Akitakiwa na timu nyingine wewe ndiyo utamkubali?
Wachezaji wazuri huwa wanaonwa na timu zingine uwezo na ubora wake. Sasa mchezaji anaishia kuimbwa na watanzania pekee kila msimu. Usikii tetesi yoyote ya kutakiwa na timu nyingine za nje.
 
Wachezaji wazuri huwa wanaonwa na timu zingine uwezo na ubora wake. Sasa mchezaji anaishia kuimbwa na watanzania pekee kila msimu. Usikii tetesi yoyote ya kutakiwa na timu nyingine za nje.
Sawli hilo aulizwe Messi.
 
Chama ndio mchezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza ligi ya Tanzania tangu kuanzishwa kwake na ndio maana Chama anatumika kama kipimo kwa kila mchezaji atakae jitahidi kucheza vizuri, lakini ukiwa unapenda mpira na una heshimu mpira huwezi kufananisha Chama na vitu vya kijinga kijinga Chama ana dunia yake ya pekee
 
Unatumia akili nyingi kuwafundisha wapumbavu aisee.Hawana uwezo wa kukuelewa.Ndiyo maana mimi huwa najibu kulingana na upumbavu wanaouandika.
 
Mchezaji wa mechi ndogo ambaye uarabuni kulimshinda
 
Pacome yeye aendelee kupaka PICO ndo anachokiweza baas
 
Chama anang'ara akicheza na timu ndogo au dhaifu, akikaa na vidume anaufyata
Labda unamuongelea Chama wa mtaani kwenu, Chama kashawafunga Yanga, kawafunga as vita wakiwa form, kawafunga al ahly mbili wakiwa kwenye form, ndio maana tunasema pakome yupo vizuri ila anapaswa kubakia na kiwango hicho Kwa muda. Sio miez 8 tu tayri anafananishwa na chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…