Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Mzizi wa fitna: Pacome vs Chama, nani zaidi?

Pacome anakupa vitu hivi
1. Anakaba.
2. Anadribble.
3. Vision.
4. Ana nguvu.
5. Anacheza kiungo, utamuona pia ktk wings.
6. Ana kasi.
7. Anafunga na ana assist.

Chama anakupa vitu vichache.
1. Anaituliza timu.
2. Vision.
3. Assists.

Lastly, Pacome kila game utamuona akiperfome, kitu ambacho huwezi kukiona KAMWE kwa Chama.
 
Back
Top Bottom