vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Wote tupo hapa tutakuja kukumbushana.Kwa hiyo unatembea kwa hisia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote tupo hapa tutakuja kukumbushana.Kwa hiyo unatembea kwa hisia?
Msikilize Ibradagabra....Kwanini tulete takwimu ya miaka ya nyuma wakati kwasasa wote wanakipiga kwa pamoja? NBC wote wapo na champions league wote wapo. Tunalinganisha kwasasa sio yaliyopita
Hata kwa Tanzania ni makolo na wasiojua mpira wengine ndo wanamuona Chama bonge la mchezaji.Chama kaimbwa sana na Simba katoka Simba kaenda Berkane kisha kafeli karudi tena Simba. Baada ya hapo kila msimu wachezaji wanahusishwa na tetesi za kutakiwa ila yeye hata hawaziwi. Ni mchezaji wa maana kwa timu za Tanzania ila kwengine wanamuona useless.
Mpaka iwe.Kwa sasa achana na hisia.Wote tupo hapa tutakuja kukumbushana.
Pacome alikuwepo?Hata SIMBA 4Yanga 1 chama alitisha
Sasa mchezaji kusajiliwa kwenda nje simba haijaanza leo ...hv ushasahau Banda,sacko wamesajiliwa wapi?Kama Chama ana class kwanini hakuna timu yeyote ile inayomuhitaji? Katoka Berkane karudi Simba na hapandi daraja ya kutakiwa na timu nyingine za daraja la juu?
Kwasasa kila mwana Yanga anaingia mashaka, huenda Pacome akakosekana msimu ujao. Na hili nakuhakikishia Pacome akiendelea na performance yake hiyo hiyo hatobakia Yanga msimu ujao ila Chama utasikia tetesi zake za kutakiwa na Yanga pekee basi.
Hakupangwa awe kipa kuzuia magoli.Ni kama vile Yanga alivyokoyongwa kwenye klabu bingwa Afrika magoli matatu(3-0) na 1-0 kwani Zwazwa alikuwa wapi?Wakati mna tundikwa 5 chama alikua wapi
Swali langu ni kwanini huyo mchezaji anaishia kuonekana na vilabu vya Tanzania pekee, kama ni mchezaji mwenye class kwanini timu za nje hazimuoni?Sasa mchezaji kusajiliwa kwenda nje simba haijaanza leo ...hv ushasahau Banda,sacko wamesajiliwa wapi?
Kwasasa tunatumia takwimu za msimu huu lakini cha ajabu mnazipinga mnataka za misimu ya nyuma. Sasa hamuoni mna nongwa?Mpaka iwe.Kwa sasa achana na hisia.
Ukilazimisha hayo utakayo ina maana hata Simba itakuwa ndiyo mara ya kwanza kucheza klabu bingwa na kufika robo fainali.Mlipenda kuiita "mwakarobo".Kumbe kufika hapo ni lazima ujipure kwa bleach na uzimie?Kwasasa tunatumia takwimu za msimu huu lakini cha ajabu mnazipinga mnataka za misimu ya nyuma. Sasa hamuoni mna nongwa?
Sio ajabu!! Maneno ya wajinga pekee, chama ingekuwa haitajiki angefika uarabuni?Ulisoma ukaelewa au umekimbilia ku comment? Nimekwambia mashindano haya ya klabu bingwa yakiisha sio ajabu kuona Pacome akiwaniwa na vilabu mbalimbali huku Chama ikawa kama kawaida yake, hakuna timu yenye aja nae.
Tangu lini top player kutoka kwenye Club bora ya ligi au bara husika akahitajika na timu ndogo? Hiyo Barcelona ya miaka uliyotaja ina mataji mangapi ya Ligi yao, Ulaya na Club bingwa Dunia?Taja timu iliyomhitaji Messi mwaka 2009-2014 na kitita walichoweka mezani usilete blahblah
Kwani CAF huwa wanatoa tuzo za misimu ya nyuma au msimu husika?Ukilazimisha hayo utakayo ina maana hata Simba itakuwa ndiyo mara ya kwanza kucheza klabu bingwa na kufika robo fainali.Mlipenda kuiita "mwakarobo".Kumbe kufika hapo ni lazima ujipure kwa bleach na uzimie?
Berkane, ok akacheza misimu mingapi? Na baada ya hapo akaenda timu ipi mpya zaidi ya kurudia matapishi? Kumemshinda karudi, kama angekuwa bora asingerudi Simba bali angeenda kwenye timu kubwa zaidi ya hiyo Berkane.Sio ajabu!! Maneno ya wajinga pekee, chama ingekuwa haitajiki angefika uarabuni?
Yanga sio timu kubwa? Al ahly sio timu kubwa? Au unataka akawafunge Mamelodi wakati hajakutana naoChama kwa Timu ngumu hutamuona,ila kwa Timu isiyokaba akiwa na mpira awe anakaa nao anakua Bora sana. Pacome vyote anavyo mechi yenye pressure kubwa atafanya maajabu na pia mechi lahisi anaofa ubora eg.Mechi ya Al ahaly home Lile goal la kusawazisha,chama huta Kuta anapenya kiaina Ile.
Unakoelekea utatuambia tusihesabu tangu ulipozaliwa.Elewa komenti.Kwani CAF huwa wanatoa tuzo za misimu ya nyuma au msimu husika?
Past ni past tu, ila michuano ya sasa ndio itakayotoa tuzo za mchezaji bora, mfungaji bora, timu bora, na bingwa wa CAFCL hivyo takwimu zinazotumika ni za sasa.