Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kama kauli yake ni ya kweli mbona ametoroka kikao?Halima Mdee amesema hadharani kuwa wamepata baraka za Chama chini ya uongozi wa Mbowe. Lakini, Mbowe hajatoka hadharani kukanusha hilo. Kwahiyo, simple logic ni kuwa Mbowe anaunga mkono wabunge hawa kuapishwa.
Mengine yanayoendelea ni kuwalaghai tu wanaharakati. Ni sawa na kumuahidi mtoto peremende ili aache kulia.
Historia itakukumbuka kama mwandishi wa habari asiye na busara,hekima wala maadili.Binafsi nitakukumbuka kwa hilo.
Hahahaa! Chama mfu huku kutwa nzima mnashinda mitandaoni kuwatetea wabunge wa chama mfu.Mbowe mjanja sana kawaambia msije ili tuendelee kubuy time.
Sasa kama chadema wa mitandaoni mna uchungu sana anadamaneni sasa kudai maboresho kwenye chama lenu mfu hilo
Yes Chadema wanaendelea kukujenga chama kwa kuwafukuza waasi 19.Chadema wakubali yaishe. Walishiriki uchaguzi ili wapate kura .Wamepata wabunge 20.Si haba wawape ushirikiano wawashe moto bungeni. Waendelee kujenga chama. Na waongee hoja bungeni. Maana huku nje wakiongea wanaitwa wachochezi.
Usikimbie hapa jamvini soon tunavyowafutia waasi uanachama.Hamna huo uwezo
Huyo Pascal mwenyewe ni mwanasheria. Japo alisoma ukubwani lakini hajui sheria.Kama Halima ni mwanasheria, alitakiwa kujua mwenye mamlaka ya kisheria ya kupeleka majina tume ya uchaguzi ni KM. Huu uzi unakuchoresha tu bro.
Huyo siku hizi kapoteza uelekeo, nadhani yuko obsessed na kupata kauteuzi ka kuzeekea nako. Hatuko focused kama zamani.Naona umeamua kujivua akili kabisa, aliyekwambia wanaenda kufukuzwa ni nani? Wale waliitwa kuhojiwa sio kuvuliwa uanachama, pili kwanini huoji kupatikana kwao kama kulifuata taratibu zote za kichama ila unahoji wao kuitwa tu? Hivi ukiwa ccm lazima kutetea kitu hata kama sio cha haki? Unanajisi taasisi zile zote ulizopitia kielimu
Mkuu hivi mpaka sasa hivi nani anatapika damu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbowe anajua misimamo ya akina Lissu lakini pia bila ruzuku ataendesha vipi chama? Hao wapiga kelele wanachangia nguvu tu sio pesa! He is playing very smart.Halima Mdee amesema hadharani kuwa wamepata baraka za Chama chini ya uongozi wa Mbowe. Lakini, Mbowe hajatoka hadharani kukanusha hilo. Kwahiyo, simple logic ni kuwa Mbowe anaunga mkono wabunge hawa kuapishwa.
Mengine yanayoendelea ni kuwalaghai tu wanaharakati. Ni sawa na kumuahidi mtoto peremende ili aache kulia.
Mvulana wapi, ni kavulana.Kabla ya Magufuli kuwa rais, nilikuwa namuona Paskali kama mwanaume, lakini baada ya kupata njaa ndio nimegundua ni mvulana.
Hawatakiwi kwenda kwa sababu hawatatendewa haki. Tayari ishara za kutokutenda haki zinaonekana.Wangeenda na kuiambia CC kuwa Mbowe amewaruhusu ili CC imtake Mbowe ajieleze. Mayalla, hilo la kufukuzwa uanachama wewe umeambiwa na CC? Au na watuhumiwa?