Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya maandamano what next?
Maandamano ni kuleta attention ya suala husika kwa viongozi. Na maandamano yatapokelewa na UN so itaipa attention ya miswada hii kwa jicho la kidiplomasia na kimataifa zaidi.

So about what Next is scrutiny by both the public and international bodies pertaining to electoral regulations and laws.
 
Baada ya maandamano ya amani solution itapatikana?
Ndio, siasa ni numbers so maandamano yanaonyesha kwamba kwenye hoja husika kuna watu wangapi wanaunga mkono. So wakiwa wengi inaonyesha mass acceptance hivyo swala linapata attention husika.

Na sababu wanasiasa wanategemeq kura, hawapo tayari kuona maelfu wote hao wanawanyima kura, so they'll act accordingly.
 
Mkuu CCM walivyo wezi hivyo wanashindaga kwa kura kweli!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Ila Chadema nyie bhana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ety muandamanaji mzoefu, hizo maandamano zilizopita zimewapa mlichokuwa mnahitaji.?
 

Sijui kwa nini sina imani na mbinu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ