Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tungeanza kuandamana mtandaoni then ndo tuingie barabarani, kama kuvamia page za viongozi na kuandika malalamiko yetu kuweka picha ya kitu kimoja n k
 
Ndio ujiulize kivipi maalim alienda kulalamika UN ila world Bank na IMF ndio zikajibu mapigo!!

Serikali ya CCM ni omba omba so wakibana madanga yenu hamna kitu mnaweza fanya.
asipoelewa hapa basi tupige ishara ya msalaba
 
Mwandamanaji mzoefu🙄 Aliandamana lini wapi mara ngapi?
Ni kweli kila atakaechoka atabebwa kwenye magari ya msafara?

MUNGU IBARIKI CDM 2024/25.
 
Sina imani na maandamano kuwa yataleta matokeo chanya.
Hapo ndipo kwangu naona ni kupoteza muda.
Mkuu hata kama serkali ikipuuza ila maandamao yatajenga confidence mioyoni mwa raia na siku nyingine hayatokua maandamano haya ya kitoto tena.
 
Back
Top Bottom