Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Baada ya maandamano ndio utajua
Au mtaenda kula mayai kwa Boni yai mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kweli huyu mnyakyusa kaamua kuwachezea akili nyumbu wa CHADEMA.uzuri anaelewa akili za nyumbu kuwa huwa wao ni kunyonya tu vitu kama madodoki.

Saa kweli CHADEMA mmechoka kweli kwelikweli yaani Boni ndiye anawapa muongozo wa maandamano πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huo uzoefu aliutolea wapi? Au kule Kiwila? Au ndonde?
 
Sasa kinachokuliza nini ?
 
Kwani bado Chadema inao watu , si Makonda kawachukua wote kwa kutumia mkokoteni !
Sawa mtani .kule Mbeya nako Mheshimiwa Dr Tulia Anaendelea kuwasha moto wa hatari.hivi leo amemkabidhi mzee mmoja nyumba bora na ya kisasa aliyomjengea Mwenyewe kwa pesa zake mwenyewe baada ya ile ya awali kubomoka.

Mambo kama haya usingeweza kuyaona yakifanywa na sugu zaidi ya uhuni uhuni ,ujanja janja na ubabaishaji tu.
 
Tunaacha kuandamana kuwafukuza wavamizi tunaandamana kutetea maslahi ya Mbowe
 
Nyie ni wajinga hamna tofauti na wale waandamanaji wa early industrial revolution kule England ambao hamjui adui yenu na hamjui nani wa kumfikishia ujinga wenu.

UN na mambo ya Tzn wapi na wapi? 😁😁
Wapi na wapi? Si ndio mnaenda kukopa kwao, wakibana mirija huko world Bank (kama walivyofanya kwenye fedha za MCC mlipopora uchaguzi zanzibar) ndio utaelewa why tunaelekea huko.
 
Wapi na wapi? Si ndio mnaenda kukopa kwao, wakibana mirija huko world Bank (kama walivyofanya kwenye fedha za MCC mlipopora uchaguzi zanzibar) ndio utaelewa why tunaelekea huko.
Chadema nyie ni nyumbu,Umoja wa Mataifa na mikopo wapi na wapi?
 
Watanzania tulivyo kuna wa kuandamana kweli? Au ndio kujifungia ndani kisha kufuatilia kwenye mitandao?
 
Back
Top Bottom