Pre GE2025 Mzoefu wa Maandamano aelekeza Mambo 10 muhimu ya kuzingatia unapoandamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni tarehe hiyo tuu au ni muendelezo ?
 
umejibu kiufundi,kwa nchi zenye demokrasia kuna maana kwa ulichosema ila kwa hizi nchi za maliwato ni kazi bure.
 
UDSM alumni[emoji174]

Maandamano tuliyoyafanya Udsm mwaka 2015 tulipata tulichokipata na yalikuwa maandamano ya siku mbili mfululizo. Polisi walituchapa na mabomu ya machozi na wapo wengine waliingia katika mikono ya polisi wakachezea sana.
Matokeo tuliyapata hasa chanya.

Sasa kabla ya kuandamana lazima tujue baada ya maandamano tutafikie lengo?
M
 
Mbinu pekee ni kikosi Cha msituni sio!!?

TLA Tanzania Liberation Army yaani ondoa mkoloni mweusi Kwa madaraka baada ya mbinu ya kura kushindikana!!?

Na hivi graduates waliomaliza chuo hawana ajira na walipitia jkt plus panyaroad !!acha kabisa ni hatari sana jamaa watapata uungwaji mkono sana!!


CCM chama changu muwe mnawaza kama Mimi,hilo linawezekana siku Moja!mnasubiri hadi vijana wakate tamaa!!?hamuoni ni hatari sana!!?


Hamuoni hayo!!?
Sijui kwa nini sina imani na mbinu hiyo.
 
Nyie ni wajinga hamna tofauti na wale waandamanaji wa early industrial revolution kule England ambao hamjui adui yenu na hamjui nani wa kumfikishia ujinga wenu.

UN na mambo ya Tzn wapi na wapi? 😁😁
 
Nyie ni wajinga hamna tofauti na wale waandamanaji wa early industrial revolution kule England ambao hamjui adui yenu na hamjui nani wa kumfikishia ujinga wenu.

UN na mambo ya Tzn wapi na wapi? 😁😁
Baada ya maandamano ndio utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…