Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Achana na huyo mnyakusa tapeli. Muache aendelee na biashara yake ya mayai.ππ Ila Chadema nyie bhana ππ ety muandamanaji mzoefu, hizo maandamano zilizopita zimewapa mlichokuwa mnahitaji.?
Au mtaenda kula mayai kwa Boni yai mwenyeweππππ kweli huyu mnyakyusa kaamua kuwachezea akili nyumbu wa CHADEMA.uzuri anaelewa akili za nyumbu kuwa huwa wao ni kunyonya tu vitu kama madodoki.Baada ya maandamano ndio utajua
Sasa kinachokuliza nini ?Au mtaenda kula mayai kwa Boni yai mwenyeweππππ kweli huyu mnyakyusa kaamua kuwachezea akili nyumbu wa CHADEMA.uzuri anaelewa akili za nyumbu kuwa huwa wao ni kunyonya tu vitu kama madodoki.
Saa kweli CHADEMA mmechoka kweli kwelikweli yaani Boni ndiye anawapa muongozo wa maandamano πππ huo uzoefu aliutolea wapi? Au kule Kiwila? Au ndonde?
Nasikitika sanaa napoona mnawafanyia utapeli na ulaghai mkubwa sana wana CHADEMA kwa kuwachukulia kama nyumbu wasio na akili TimamuSasa kinachokuliza nini ?
Kwani bado Chadema inao watu , si Makonda kawachukua wote kwa kutumia mkokoteni !Nasikitika sanaa napoona mnawafanyia utapeli na ulaghai mkubwa sana wana CHADEMA kwa kuwachukulia kama nyumbu wasio na akili Timamu
Sawa mtani .kule Mbeya nako Mheshimiwa Dr Tulia Anaendelea kuwasha moto wa hatari.hivi leo amemkabidhi mzee mmoja nyumba bora na ya kisasa aliyomjengea Mwenyewe kwa pesa zake mwenyewe baada ya ile ya awali kubomoka.Kwani bado Chadema inao watu , si Makonda kawachukua wote kwa kutumia mkokoteni !
Toka hapa chawa!Huna unachojua
Sitoki !Toka hapa chawa!
Wapi na wapi? Si ndio mnaenda kukopa kwao, wakibana mirija huko world Bank (kama walivyofanya kwenye fedha za MCC mlipopora uchaguzi zanzibar) ndio utaelewa why tunaelekea huko.Nyie ni wajinga hamna tofauti na wale waandamanaji wa early industrial revolution kule England ambao hamjui adui yenu na hamjui nani wa kumfikishia ujinga wenu.
UN na mambo ya Tzn wapi na wapi? ππ
Chadema nyie ni nyumbu,Umoja wa Mataifa na mikopo wapi na wapi?Wapi na wapi? Si ndio mnaenda kukopa kwao, wakibana mirija huko world Bank (kama walivyofanya kwenye fedha za MCC mlipopora uchaguzi zanzibar) ndio utaelewa why tunaelekea huko.
Ndio ujiulize kivipi maalim alienda kulalamika UN ila world Bank na IMF ndio zikajibu mapigo!!Chadema nyie ni nyumbu,Umoja wa Mataifa na mikopo wapi na wapi?
Tuandalie dinner tunakujaBaada ya maandamano what next?
Wakiona "nyomi" hiyo miswada itafutwa na Mbowe ataitwa mezani. So one day is enough to signify statement of intentNi tarehe hiyo tuu au ni muendelezo ?
Hahahahahha..sawa sawa..tumaini langu utakuwepo keshoWakiona "nyomi" hiyo miswada itafutwa na Mbowe ataitwa mezani. So one day is enough to signify statement of intent
Nimebanwa na muajiri ila ningekuwepo.Hahahahahha..sawa sawa..tumaini langu utakuwepo kesho
Pole sanaNimebanwa na muajiri ila ningekuwepo.
Ulisoma chuo gani bazeeBaada ya maandamano what next?
Kama ccm haikupata solution kwa miaka 60, unataka maandamano ya siku moja yalete solution?Baada ya maandamano ya amani solution itapatikana?