Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawa fom 4 failures!Jamaa anawanyoosha hawa wapumbavu haswa
Aisee_ππππTangu yule jamaa wa juzi wa magereza acharukiwe watu wakataja mpaka anayemkula mkewe basi wanageshi la magereza wameamua wafiche suraπ€£π€£ kisa cha kutajiwa hadi unapokopa bia nini
Hapo ni Mahakamani. Mwenye maamuzi yote ni Hakimu. Akitaka anaweza hata kuwafukuza kutoka ndani ya Mahakama yake.Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe
Wanafanya hivyo kwa usalama wake
Hakimu alisema wazi kuwa marufuku mtu kumpa document yeyote Lisu ila mpaka yeye aridhie na kuwa hiyo documeny akiridhia itakabidhiwa kwa askari magereza ambao ndio watamkabidhi LisuHapo ni Mahakamani. Mwenye maamuzi yote ni Hakimu. Akitaka anaweza hata kuwafukuza kutoka ndani ya Mahakama yake.
Amandla...
Jamaa yangekua busy na kukamata watekaji na mafisadi hivi tungekuwa mbali sana. Bahati mbaya sana wanatumia nguvu kwa wapigania haki alafu mafisadi yanakula maisha tu.Tundu Lissu atofautiana na Askari Magereza Mahakamani, azuiwa kushikana mikono na Mawakili wake ambapo alizuiwa pia kupeana karatasi na Mawakili wake, jambo lililosababisha mvutano kati yake na Askari waliokuwa wakimlinda.
Video: Mwanzo TV Plus
Hapo kiukweli nani kanyooshwa au mimi ndio sijui maana ya kunyooshwa? Maana mwisho wa siku Lissu HAKUFANYA alichotaka kufanya. Nani kunyooshwa?Jamaa anawanyoosha hawa wapumbavu haswa
Hivi Idi Amin Mama ana elimu gani kama una taarifa zake tafadhali mkuuThe most terrible mistake is to give fool(s) power to rule or control other people.