GE2025 Mzozano Mahakamani kati ya Lissu na Askari Magereza

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika?
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe

Wanafanya hivyo kwa usalama wake
Kwa wenye mtindio wa akili wataona hivyo, hebu tuambie Sheria inasemaje kwa mawasiliano na mshtakiwa na mawakili wake?
 
Ila hao askari wana haki ya kufanya hivyo ili kulinda usalama wa Lissu kufuatia ile tetesi kwamba huenda akapewa sumu akiwa huko magereza.
Kwa hiyo mawasiliano kati ya mshtakiwa na mawakili wake yanafanyikaje?

Tumia akili kidogo siyo hicho kiungo unachotumia kufikiria
 
Askari magereza wako sahihi
Akidhurika nani atawajibika?
Chochote wakitaka kumpa lazima kipitie kwa askari wakague usalama wake ndio wampe

Wanafanya hivyo kwa usalama wake
We jamaa punguza kubing'oa.......unabong'oa mpaka utumbo unatoka nje
 
Tangu yule jamaa wa juzi wa magereza acharukiwe watu wakataja mpaka anayemkula mkewe basi wanageshi la magereza wameamua wafiche sura🤣🤣 kisa cha kutajiwa hadi unapokopa bia nini
Ilikuwaje hiyo kaka embu nizindue
 
Askari Magereza masikini hawa hawana kipato.cha maana wapuuzi mno. Mahakama imeharibiwa na CCM. NYERERE ALIPO ACHOMWE HASA.
Ni ujinga kulaumu waliokufwa kwa makosa yao ambayo yanawaathiri nyie wenye pumzi. Ni jukumu la wanaoishi kurekebisha mambo. Aliyelala hatoamka kuja kurekebisha. Huko aliko kama kweli kuna kuchomwa, hata akichomwa elfu mara elfu haitasahihisha makosa aliyotenda. Be responsible.
 
7
Askari Magereza masikini hawa hawana kipato.cha maana wapuuzi mno. Mahakama imeharibiwa na CCM. NYERERE ALIPO ACHOMWE HASA.
We una kipato gani? Bwege tu lisilojielewa, kwa hito km hawana ndio wasitekeleze majukumu yao? Acheni kutumia makalio badala ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…