Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Hizi siku ambazo M23 wamesitisha mapigano wanakuwa na shughuli gani kama sio ku train wanajeshi wapya baada ya kuzidiwa nguvu ili watudi kwenye uwanja wa vita.Hao jamaa hawawezi kupoa mpaka Kongo ya mashariki iwe nchi inayojitemea ndio utakuwa mwisho wa hiyo vita kwa sasa wanaenda kunywa kahawa wanarudi.
 
Kagame anaposema hajui kama wanajeshi wake wapo congo anazuga au vipi, inakuaje amiri jeshi mkuu asijue wanajeshi wake walipo? Halafu hao waasi wa congo kusitisha mapigano baada ya kuteka maendo ni kwamba wasifurushwe au wanazuga ili wajipange vema kuteka maeneo mengine zaidi? Hii ni zuga tu
Mwee! Mbona yeye ndo Amiri jeshi mkuu; YeyeAtasemaje hajui halafu anatoa maelekezo haya:
"BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units
President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect"
Hiyo ni kuuma na kupuliza - wajinga ndo waliwao.
 
Kuna jamaa nilimueleza juzi kuhusu jeshi la Urundi akanibishia mbaya kigezo chake Burundi hawawezi ni masikini sanaa, nikaamua nikae kimnyaaa na burundi yenyewe si unajua ni mtoto wetu pendwa?

Kilochotokea ni kwamba Bongo haina bifu la moja kwa moja na Mrefu ila mrefu ndio ana choko choko kwahiyo Bongo iliamua kumlisha Mrundi data zote,

Basi last born wetu Urundi akakiwasha na akapita na biti mule mule🤣🤣
Nabubujikwa na machozi ya furaha nionapo kazi nzuri inayofanywa na jeshi letu tukufu
 
Mkuuu nataman kuelewa vizuri ila sijui niko nyuma ya saa....kunani? Nieleze kidogo
🤣 acha umbeya!!!(jus kidding )

Ni kwamba Burundi ni mtoto wetu sisi Watanganyika na hii vita hata kama ingeendelea ingeweza ku backfire kwa Burundi pia sababu kuna kundi la waasi linamsumbua Burundi hivyo m23 kuendelea kuchukua maeneo hapo congo lazima wangekutana na hilo kundi la waasi la Burundi na kuunganisha nguvu..

Na sisi watanzania hatuna bifu na Kagame ila kagame ndio huleta chokochoko kwetu. Hivyo kilichotokea, Burundi kawezeshwa na tz(kipesa na taarifa zote muhimu ) kisha akaingia kazini, unaambiwa kawachakaza m23, piga sanaaa.(hapo tz kakaa zake pembeni kama hajui kinachoendelea)

Na hawa waburundi tunawapaga sapoti mara nyingi sana, kama unakumbuka kipindi fulani prezida nkurunzinza alipokuja dar kwenye kikao, watu kule Burundi walifanya mapinduzi kwa msaada wa pk na almost walikua wameshafanikiwa.

Unaambiwa prezida nkurunzinza alisafirishwa kwa siri chap chap kutoka dar hadi kigoma, kisha akavushwa mpaka kisirisiri mpaka ikulu,baadae watu wanashangaa rais anahutubia taifa akiwa ikulu, yeye mwenyewe anawashangaa watu wanaosema amepinduliwa.
 
Habari wakuu

Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wanaingia Congo wanateka miji na maeneo yenye utajiri wa dhahabu.

Congo ni kubwa mara 50 ya Rwanda

Je ni kitu gani kinaikwamisha Congo kuivamia Rwanda ili isiendelee kuvuruga amani nchini humo yaani kukabia mbele

Naomba kujuzwa
Jeshi la Congo lipo very dis organized..
Jeshi la Rwanda liko organized.
Congo Hawezi kuvamia Rwanda peke yake na akammudu..
 
Mwee! Mbona yeye ndo Amiri jeshi mkuu; YeyeAtasemaje hajui halafu anatoa maelekezo haya:
"BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units
President General Kagame has issued an executive order directing all Ruwandan military forces to withdraw from all DRC border towns and regroup in the capital Kigali with immediate effect"
Hiyo ni kuuma na kupuliza - wajinga ndo waliwao.
wakamtoe kwa nguvu huko mashariki mwa congo. Ikiwezekana apigwe mpaka kigali. Anabembelezwa mno mpaka amekuwa jeuri
 
wakamtoe kwa nguvu huko mashariki mwa congo. Ikiwezekana apigwe mpaka kigali. Anabembelezwa mno mpaka amekuwa jeuri
Hilo lipo ila ujue mahesabu mujarabu ni: "mmoja afe kwa ajili ya wengi".
Kama tatizo ni Mrefuu, basi atashughulikiwa Mrefuu kama Myahudi alivyokuwa anawashughulikia wale watoa amri maarufu 17 waliokuwa Eliminated.
 
Back
Top Bottom