Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Dawa ya jipu n kulitumbua litoke otherwise you will face the consequences in future the problem shall be resolved
 
Mnapendanga poroja na kujipa umuhum kutwa rais wa burundi analia anasema anaogopa kuvamiwa wewe upo hapa ukiwa wewe mwenyewe ndio chanzo cha habari yako.
 
Jeshi la Congo lipo very dis organized..
Jeshi la Rwanda liko organized.
Congo Hawezi kuvamia Rwanda peke yake na akammudu..
Upo sahihi Mkuu, hata ikitokea leo majeshi ya Kagame yamepigwa na kufurushwa baada ya wiki moja tu majeshi ya Congo yataacha position, yatauza silaha, yatapora na kubaka raia, gongo zitauzwa makambini na kila aina ya uchafu. Jeshi ka Congo ni pasua kichwa.
 
Baada ya kupata suluhisho kwenye hiki kinachoendelea, Hao majeshi ya Congo watakalishwa chini wapewe mafunzo kama ilivyokuwa kwa Uganda baada ya kumfurusha nduli.
 
Siyo waburundi bali warundi
 
Nilishapendekeza mahali kuwa Tanzania apewe kandarasi ya kufundisha jeshi la DRC, na wakati wote wa mafunzo Tanzania ndiye adhibiti eneo lote lenye changamoto ya usalama hasa Mashariki ya DRC. Wakiiva hao askari, ndipo waruhusiwe kukabidhiwa nchi.
 
Nimeona uzi unaosema wameuliwa wanajeshi wao 600,watu wakasema ni propaganda za south afrika,
sasa kwa taarifa hii,naanza kuiamini ile taarifa ya kuuawa kwa wanajeshi wao.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti wanajiita waiziraeli🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Africa ni mrundikano wa NYANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…