Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Na wewe umeziamini? SA kuna upinzani mkubwa dhidi ya nchi yao kujiingiza kwenye vita wanavyoamini ni kwa maslahi binafsi ya Ramaphosa na investments zake kwenye migodi huko DRC, kumbuka Ramaphosa ni tycoon wa biashara za madini na anamiliki migodi sana ndani ya SA na nje. Wanamstukia sana.
 
Wacongo ni matutusa, wanaleta usanii wanataka watu wengine wapigane kwa niaba yao. Papaa na vita wapi na wapi, rais wao mwenyewe tapeli yaani hana tofauti na late Mobutu.
 
Baada ya kupata suluhisho kwenye hiki kinachoendelea, Hao majeshi ya Congo watakalishwa chini wapewe mafunzo kama ilivyokuwa kwa Uganda baada ya kumfurusha nduli.
Hayo yaliwezekani enzi za Mchonga, tulikuwa na jeshi kweli si hawa chawa wa bibi wa Kizimkazi.
 
 
Kuna habari kuwa hata Wanamgambo wa Wazalendo walianza kula mizoga ya Wapiganaji waliouwawa kwenye mapigano ya Sake na Goma.

Missing in action wote ujue walishafanywa kitoweo na Wanamgambo wa Wazalendo. Mama ondoa Jw huko hao sio watu.daah!!

Na kitendo cha kuwarudisha Mayi Mayi kwenye mapigano ni kuwaruhusu kuja kula kitoweo.

DRC: 8,000 Mayi-Mayi accused of cannibalism, disarmed in southern Katanga​

Format News and Press ReleaseSource
Posted13 Feb 2003Originally published13 Feb 2003
KINSHASA, 13 February (IRIN) - An estimated 8,000 Mayi-Mayi militiamen accused of cannibalism were disarmed last weekend in the Haut Lomami District of southern Katanga Province, the provincial governor, Aime Ngoy Mukena Lusa, told IRIN on Wednesday.
The fighters agreed to lay down their arms on 7 February following negotiations between Ngoy and their leaders in the village of Musau, home of one of the most prominent Mayi-Mayi leaders,
 
Ukiachana na mambo sijui ya propaganda sijui kitu gani, wewe na akili yako kabisa unaamini South Africa wakiingia kwenye full war watapigwa na Rwanda? Kama akili yako inafanya kazi kweli?
Sio watapigwa washapigika mizoga Yao wameibeba tena sio south Africa na tanzania Kuna mizoga Yao wameichukua 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 

Sijui kama unaijua South Africa au unaisikia tu kwenye vyombo vya habari, kule ni habari nyingine bosi.
Wako mbele saaaana kwa techonologia na kila kitu kama ulaya. Nchi ya ku compete nao labda Egypt na Nigeria.......
 
Sijui kama unaijua South Africa au unaisikia tu kwenye vyombo vya habari, kule ni habari nyingine bosi.
Wako mbele saaaana kwa techonologia na kila kitu kama ulaya
Zile vurugu zinazotokea pale mara moja moja zisikuchanganye...
Wako mbele wapi wewe washachezea kichapo kutoka Kwa m23 na la kufanya hawana , imebaki kusema wako mbele bila vitendo🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…