Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

DOGO KASOME HUNA AKILI!!!

ISRAELI ILIPOTEZA WANAJESHI KIBAO WALIPOKUWA NA VITA GAZA.SASA HUU UBISHI WA KITOTO UNAOLETA NENDA KALE USHIBE KWANZA UNAONEKANA UNANJAA KIASI KWAMBA AKILI YAKO INAKOSA KUFAHAMU KATIKA VITA HUWA KUNA WANAJESHI LAZIMA WAFE.
Huna jeshi wewe umepigika na mji bado wameshikilia hahahaha 🤣🤣🤣🤣
 
Nakufundisha mengi, ikiwemo kabila la wanyamwezi,taifa linajua wasumbwa ni miongoni mwa wanyamwezi,wewe mtusi hutaki,watu(wikipedia) wanajua wasumbwa ni sehemu ya wanyamwezi,wewe hutaki
Nimekuuliza hutaki kunijibu nakuuliza tena JE LUGHA ZA KINYAMWEZI NA KISUMBWA NI LUGHA MOJA?!

Usiponijibu nakupuuza rasmi.
 
Si linasaidiwa na Red Tabara?!
Hapana Red Tabara hawawezi kuwasaidia FARDC , Ikumbukwe hawa red Tabara walianzia miaka ya 2015 au 2017 hivi huko Burundi , leo lao la kwanza ilikua kumtoa madarakani Rais Nkuru ,

Lakini kwa jicho la ndani pia Red Tabara wana mafungamano na kile kile kikundi cha mtu mrefu , hivyo kwa muktadha huo Red Tabala hawawezi kukaa pamoja na FARDC , Kwa kiasi waasi ambao wako loyal na FARDC labda wale FDLR
 
Asante kwa ufafanuzi Mkuu🙏🏼
 
Halafu na sikia kuna mkuano wa SADC nao Kagame kuna kitu anakiogopa,naona kabisa SA na JWTZ sizani kama watakubali naona alizoom akaona kuna vita kali mbele yake na M23.
 
Nimekuuliza hutaki kunijibu nakuuliza tena JE LUGHA ZA KINYAMWEZI NA KISUMBWA NI LUGHA MOJA?!

Usiponijibu nakupuuza rasmi.
Wewe mwehu
 
Attachments

  • Screenshot_2025-02-04-13-19-28-059.jpg
    Screenshot_2025-02-04-13-19-28-059.jpg
    196.1 KB · Views: 2
Naona Rwanda kanusa kuvamiwa na wanajeshi wa jwtz anajitoa haraka ili tukiingia tuonekane wakorofi!!

Wanajeshi wetu wawili Kagame atalipa gharama kubwa Sana
Atalipa au amesha lipa na majibu ndio hayo amesimamisha vita kwa sababu za kibinadam
 
Back
Top Bottom