OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhasibu naongezea hapo kuna jamaa yangu aliniambia kitu na leo nimekiona kwa gazette hapo, aliniambia kuwa wale waasi wa DRc ni shenzi type wakipigwa na kuuawa huwa hawaachi wenzao nyuma watawaburuza huku wanakimbia wakifika umbali fulani ndipo huwakata kata wenzao vipande vipande na kusepa navyo,
Piga shenzy hao mpaka kigali
Hawa wahuni wamesababisha maafa kwa raia wa Goma.Umoja wa Mataifa umesema takriban watu 900 wameuawa na wengine 2,880 kujeruhiwa katika mapigano ya hivi majuzi katika na karibu na Goma, mji mkubwa wa mashariki mwa DRC, baada ya kutekwa na waasi.
Ina maana Burundi imezua Bukavu kutekwa ?...Waburundi wamewamaliza. Wamewaua kama nzige jamaa yangu kaniambia.
Ilikuwa waungane na waasi wa Burundi ambao mlima wao upo karibu na Bukavu.
Sasa inasemekana huku ni kwa Wabongo waliosaini SGR ya Uvinza na waburundi na wachina..
Hiyo nimepewa na mtu wa ndani Burundi
Sijaelewa mnachopongezana wakati Goma bado ipo kwenye mikono salama ya Kagame, north Kivu ipo kwake, halafu mnawapongeza wakongo na warundi kwa kazi ipi, ya kupoteza Goma?MTOTO MDOGO HUYO HATUSUMBUI!!!
Chai 🤣🤣🤣🤣Muhasibu naongezea hapo kuna jamaa yangu aliniambia kitu na leo nimekiona kwa gazette hapo, aliniambia kuwa wale waasi wa DRc ni shenzi type wakipigwa na kuuawa huwa hawaachi wenzao nyuma watawaburuza huku wanakimbia wakifika umbali fulani ndipo huwakata kata wenzao vipande vipande na kusepa navyo,
Hii yote hawataki hata siku moja ionekane wamepigwa na maiti zao kuzagaa kwao mwiko,
Ikifikia hatua miili yao kutapakaa baada ya kipigo ujue yaliwafika haswa na hapo hawana jinsi
Propaganda baada ya vichapo vikali🤣🤣🤣🤣
Unajua humu kuna watu wengi sana , amini kwamba ukijua hili wenzako wanajua lile,Chai 🤣🤣🤣🤣
Propaganda tu hizi
Akija Dar kazi itaishia hapoAmani ya kweli itapatikana meza ya mazungumzo na siyo uwanja wa vita. Hongera kwa Dr. SAMIA na Dr. RUTO kwa kuandaa mkutano wa kuwapatanisha Tshisekedi na Kagame siku ya Jumamosi hapa Dar
Kama kameipiga cockroach mende na kuifanya irudi kwenye shimo la choo safi sana. 😆😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
📌Katoto ketu pendwa tulikapa nafasi KAMUOSHEE huyo jamaa💪💪💪💪😂😂😂😂
Hahahaha
Sasa hilo sio jipu nduguItaishaje hivi hivi kiaina aina!! Jipu likipapaswa kesho litarudi tena kwa maumivu makali!!
Dawa ya jipu ni kutumbua kamua mpk kiini kitoke damu na maji!!
Akazwe tafadhali
Akifa Kagame ndiyo vita itakuwa kubwa kinoma, bora kwa sasa anaiendesha kwa remote control kiulaini akiamua itulie inatulia 'one time'. Vita mbaya ni ile ya kila mtu mbabe, lakini hii ya mbabe mmoja wala haina shida.Kweli kabisa imeshindikana kumuua Kagame?
Bukavu ikichukuliwa burundi inakua hatarini,red tabara walala kitanda kimoja na m23,bukavu na burundi ni kama dar na mlandizi
Hatukutaki kambi yetu,kaa hukohuko m23Wakuu kuna habari kuwa Warundi wanatoa Dozi huko 😁😆