Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 watangaza Kusitisha Mapigano kwa 'Sababu za kibinadamu'

20250204_114310.jpg
 
Muhasibu naongezea hapo kuna jamaa yangu aliniambia kitu na leo nimekiona kwa gazette hapo, aliniambia kuwa wale waasi wa DRc ni shenzi type wakipigwa na kuuawa huwa hawaachi wenzao nyuma watawaburuza huku wanakimbia wakifika umbali fulani ndipo huwakata kata wenzao vipande vipande na kusepa navyo,

Hii yote hawataki hata siku moja ionekane wamepigwa na maiti zao kuzagaa kwao mwiko,

Ikifikia hatua miili yao kutapakaa baada ya kipigo ujue yaliwafika haswa na hapo hawana jinsi
 
Waburundi wamewamaliza. Wamewaua kama nzige jamaa yangu kaniambia.
Ilikuwa waungane na waasi wa Burundi ambao mlima wao upo karibu na Bukavu.
Sasa inasemekana huku ni kwa Wabongo waliosaini SGR ya Uvinza na waburundi na wachina..
Hiyo nimepewa na mtu wa ndani Burundi
Ina maana Burundi imezua Bukavu kutekwa ?...

Tresor Mandala T14 Armata
 
Muhasibu naongezea hapo kuna jamaa yangu aliniambia kitu na leo nimekiona kwa gazette hapo, aliniambia kuwa wale waasi wa DRc ni shenzi type wakipigwa na kuuawa huwa hawaachi wenzao nyuma watawaburuza huku wanakimbia wakifika umbali fulani ndipo huwakata kata wenzao vipande vipande na kusepa navyo,

Hii yote hawataki hata siku moja ionekane wamepigwa na maiti zao kuzagaa kwao mwiko,

Ikifikia hatua miili yao kutapakaa baada ya kipigo ujue yaliwafika haswa na hapo hawana jinsi
Chai 🤣🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa imeshindikana kumuua Kagame?
Akifa Kagame ndiyo vita itakuwa kubwa kinoma, bora kwa sasa anaiendesha kwa remote control kiulaini akiamua itulie inatulia 'one time'. Vita mbaya ni ile ya kila mtu mbabe, lakini hii ya mbabe mmoja wala haina shida.
 
Back
Top Bottom