Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

Kiokotee

Kimsingi amewajibu wamarekani watukome, wasituchagulie rafiki, siye tupo na urusi kwa kuwa kipindi tuliponyanyaswa kwa ubaguzi wa rangi amerika mliwaunga mkono makaburu lakini warusi walitusaidia kutufundisha na kupigana na ubaguzi wa rangi! Warusi walikuwa upande wetu kipindi ambapo nato na amerika walikuwa kinyume nasi!

Waafrica Libya, Syria, Iraki, Afughanstan, palestina walipouawa America na NATO yao hawakulaani badala yake waliruhusu na wao wenyewe walihusika na mauaji hayo! Leo wazungu wenzao wanashughulikiwa ndio wanatulazimisha tuitenge Urusi! Hilo haliwezekani, tupo na urusi ktk hili! Tumechoka na ubabe wenu america na nato yenu na hatuwaogopi! Toeni haraka majeshi yenu yaliyotapakaa africa kama Botswana!
 
Back
Top Bottom