Hero
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 3,932
- 2,839
- Thread starter
- #41
Ukimya wakati mwingine huwa ni jibu la kiutu uzima! Mmarekani wako amepewa 'cold shoulder' na WA Africa! Siyo lazima watoke hadharani ndugu! NATO na Marekani kwa unafiki wao waMelikologa wenyewe, kulinywa ni Hali Yao! Unaita waafrica 'wanafiki' seriously 😳!? We unataka unafiki ufanywe na As Marekani na mayo peke Yao TU waafrica wakifanya iwe nongwa? Makubwa haya, how I wish mzee Bob Mugabe angekuwa hai kushuhudia kata funua ya urusi kwa NATO na america yako😹!Sasa kama mpo na Urusi mbona kwenye kura za baraza la usalama la UN, hamuonyeshi mnasimama wapi?!
Bora hata KENYA, kwenye hili hawajawa wanafiki wamechagua upande, mnaleta janja janja za kipindi cha NAM!!kwani hii ni vita baridi?!!na hata hiyo NAM, kwa sasa ni kama haipo tu, kiongozi gani kutoka NAM, kwa sasa anaweza sema dunia ikashituka?!!
Ni kiongozi gani wa Afrika, leo hii ukimuhoji hadharani atasema yupo upande wa URUSI?!!