DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
Only if the same is relevant and applicable to the topic at hand.
I refrain from double standards and assuming the past is irrelevant when putting, geopolitics in their perspectives.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Only if the same is relevant and applicable to the topic at hand.
But you can't make a bad decision now because of the bad past. Experience from history is meant to help rectify the paresent and the future. When the past attrocities were committed, some of us had our own reservation on the same just as we're having the same against Russian invation against Ukraine.I refrain from double standards and assuming the past is irrelevant when putting, geopolitics in their perspectives.
Ukimya wakati mwingine huwa ni jibu la kiutu uzima! Mmarekani wako amepewa 'cold shoulder' na WA Africa! Siyo lazima watoke hadharani ndugu! NATO na Marekani kwa unafiki wao waMelikologa wenyewe, kulinywa ni Hali Yao! Unaita waafrica 'wanafiki' seriously [emoji15]!? We unataka unafiki ufanywe na As Marekani na mayo peke Yao TU waafrica wakifanya iwe nongwa? Makubwa haya, how I wish mzee Bob Mugabe angekuwa hai kushuhudia kata funua ya urusi kwa NATO na america yako[emoji81]!
A principle is not a virtue. What matters is the values on which the said principle is anchored on. Even Hitter was principled, but his principles were barbaric and inhumanYes, because he's a man of principle and truth..BUT YOUR NOT.
Hitter.A principle is not a virtue. What matters is the values on which the said principle is anchored on. Even Hitter was principled, but his principles were barbaric and inhuman
Common sense should inform you that typos and autocorrect are real!.. 👊Hitter.
Waafrika hao hawakutusaidia kupata uhuru sisi tuwasaidie kwa nini? Wakati Wakenya 50,000 waliuwawa wakati wa ukoloni, waafrika wengine walikuwa wapi kutusaidia? Wacha zako wewe.Sasa kwanini mnajiita waafrika na mnataka mahusiano ya kibiashara na nchi za kiafrika wakati hakuna hata nchi Moja ya Africa iliyowasaidia?, hivi Kati ya mtu aliyetumia akili na "diplomatic means" kudai uhuru na yule aliyemwaga damu nani mwenye akili zaidi?.
Afrika haopo upande wa NATO, ni nchi chache ambazo zinajulikana kwamba ni wasaliti wa Africa tangu enzi za ukombozi Kama Kenya ndio zinazounga mkono NATO.
Malema ameeleza vizuri unyama uliofanywa na NATO katika nchi mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika, lakini hatukusikia kiongozi yeyote wa Kenya kulaani unyama ule, hadi Leo Israel amekataa Palestina kujichagulia na kujitawala, lakini hatusikii vibaraka wakilaani lolote like. Kenya ni sio waafrika na Kamwe AU haiwaamini, ndio sababu Amina Mohamed alikataliwa kuwa mwenyekiti wa AU
Mabeberu watamuondoa mda si mrefu akahutubie malaika.. Mark my words
joto la jiwe nyie kwa sababu hamkuuwawa na hao mabeberu ndio maana mlikuwa na nyege ya kupigana nao. Sisi hamu ya kupigana nao ilikwisha wakati tulipata uhuru wetu. Tulikuwa tumepoteza watu 50,000 kwenye vita na beberu, hatukuwa na hamu wala kiu ya vita na wao. Kwa hivyo unaweza kuendelea kutuita wasaliti jinsi unavyotaka lakini ukumbuke nyinyi hamkumwaga damu ili kupata uhuru wenu. Nyie sio shujaa kutushinda. Nchi chache sana Afrika zilipigania uhuru wao kwa kumwaga damu na Kenya ni moja wao.Waafrika hao hawakutusaidia kupata uhuru sisi tuwasaidie kwa nini? Wakati Wakenya 50,000 waliuwawa wakati wa ukoloni, waafrika wengine walikuwa wapi kutusaidia? Wacha zako wewe.
Man of principle my foot. Anatetea Russia wakati inafanya unyama?Yes, because he's a man of principle and truth..BUT YOUR NOT.
Wewe jamaa kwa nini unatetea unyama ambao Russia inafanyia watu innocent ambao hawajafanya kosa lolote? Hivi hata kama una matatizo na Nato hio sio sababu ya kukufanya wewe kusapoti unyama wa Russia.Sasa kwanini mnajiita waafrika na mnataka mahusiano ya kibiashara na nchi za kiafrika wakati hakuna hata nchi Moja ya Africa iliyowasaidia?, hivi Kati ya mtu aliyetumia akili na "diplomatic means" kudai uhuru na yule aliyemwaga damu nani mwenye akili zaidi?.
Afrika haopo upande wa NATO, ni nchi chache ambazo zinajulikana kwamba ni wasaliti wa Africa tangu enzi za ukombozi Kama Kenya ndio zinazounga mkono NATO.
Malema ameeleza vizuri unyama uliofanywa na NATO katika nchi mbalimbali zikiwemo nchi za Afrika, lakini hatukusikia kiongozi yeyote wa Kenya kulaani unyama ule, hadi Leo Israel amekataa Palestina kujichagulia na kujitawala, lakini hatusikii vibaraka wakilaani lolote like. Kenya ni sio waafrika na Kamwe AU haiwaamini, ndio sababu Amina Mohamed alikataliwa kuwa mwenyekiti wa AU
Nilitaka ueditCommon sense should inform you that typos and autocorrect are real!.. [emoji109]
Don't worry brother, so long as you noticed it, it means you know what it should be. What matters is having the message home and dry.Nilitaka uedit
Malema ni Populist anayetumia inshu ya Apartheid Afrika Kusini kujipatia umaarufu. Namfananisha na Kagame au Isarael wanaotumia kivuli Cha Genocide kujipatia Huruma na umaarufu TU kimataifa. Mtu Kama Malema sidhani Kama ana-project hata moja ya kiuchumi na kijamii ili kukuza vipato vya Watu wa S.Afrika nje ya Siasa.Pale unapomuonea mtu huruma ambay keshajitoa, malema Alisha Sema hajui kwa nini mpaka Leo yupo Hai. A nafikiri Alisha kufa, Sasa yeye Hana shida na hilo, au labda wewe mkewe?
Yani kweli wewe huna adabu. HayaMalema ni Populist anayetumia inshu ya Apartheid Afrika Kusini kujipatia umaarufu. Namfananisha na Kagame au Isarael wanaotumia kivuli Cha Genocide kujipatia Huruma na umaarufu TU kimataifa. Mtu Kama Malema sidhani Kama ana-project hata moja ya kiuchumi na kijamii ili kukuza vipato vya Watu wa S.Afrika nje ya Siasa.
Malema ni mbw*. Hana lolote huyo. Ni zero brain kabisa. Kama alivyosema MTZ 255Dar Malema hajaanzisha mradi hata mmoja wa kuwasaidia hao black South Africans kutoka kwenye lindi la Umasikini. Kazi yake ni kufanya siasa usiku na mchana huku watu wake wanaendelea kutaabika na umasikini.Yani kweli wewe huna adabu. Haya
Acha uoga boya. Kwa iyo kama watamuondo ndio asiseme uovu na double standards wanazofanya.Mabeberu watamuondoa mda si mrefu akahutubie malaika.. Mark my words