bernard10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 410
- 732
Tunaomfuatilia malema hajaanza Leo ubishi undava wake Ni wasiku nyingi siyo kila mtu mwoga Kam wwMabeberu watamuondoa mda si mrefu akahutubie malaika.. Mark my words
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomfuatilia malema hajaanza Leo ubishi undava wake Ni wasiku nyingi siyo kila mtu mwoga Kam wwMabeberu watamuondoa mda si mrefu akahutubie malaika.. Mark my words
Bro, ishu sio woga hapa bt the reality.. Mabeberu hawapendi wanasiasa kaliba ya malema. Remember whites first..Tunaomfuatilia malema hajaanza Leo ubishi undava wake Ni wasiku nyingi siyo kila mtu mwoga Kam ww
Mwaka huu mbona amerika na nato yake hakuna rangi watakayoacha kuiona!
cheki na hapa:
This kind of you people is what we call it "mahaba niue for USA & EU"Julius Malema analeta siasa za mwaka 1960 katika mwaka 2022. Hatafanikiwa kama ambavyo Komredi Mugabe alivyoshindwa na akafa na siasa zake hizo za mwaka 1960.
Have I bounded him? He can talk whatever he wants. But, after talking, what happens next?This kind of you people is what we call it "mahaba niue for USA & EU"
Who are you by the way to range boundaries for Malema's talking [emoji848][emoji19]
Africa haikuwa na shida ya ukimwi mpaka pale hao mabwana zako walipouleta kwa mpango wao muovu wa kupunguza idadi ya watu.Lakin kutwaa viongozi wa kiafrika wako bize kwenda kuwaomba hela plus wanawapa kondom, ARVs bure plus chanjo kibao
Wazungu Wana mazuri Yao na mabaya Yao same ilivyo kwa waafrika
They hear and uchuna!!!!Have I bounded him? He can talk whatever he wants. But, after talking, what happens next?
Sasa kama mpo na Urusi mbona kwenye kura za baraza la usalama la UN, hamuonyeshi mnasimama wapi?!Kiokotee
kimsingi amewajibu wamarekani watukome, wasituchagulie rafiki, siye tupo na urusi kwa kuwa kipindi tuliponyanyaswa kwa ubaguzi wa rangi amerika mliwaunga mkono makaburu lakini warusi walitusaidia kutufundisha na kupigana na ubaguzi wa rangi! Warusi walikuwa upande wetu kipindi ambapo nato na amerika walikuwa kinyume nasi! Waafrica Libya, Syria, Iraki, Afughanstan, palestina walipouawa america na Nato yao hawakulaani badala yake waliruhusu na wao wenyewe walihusika na mauaji hayo! Leo wazungu wenzao wanashughulikiwa ndio wanatulazimisha tuitenge Urusi! Hilo haliwezekani, tupo na urusi ktk hili! Tumechoka na ubabe wenu america na nato yenu na hatuwaogopi! Toeni haraka majeshi yenu yaliyotapakaa africa kama botswana.....!
Afrika hapa ndipo tunachemka, kila baya kuona chanzo ni mzungu, sasa kama wao ndio waliuleta sasa ni miaka karibu 40, mmechukua hatua gani kuumaliza kwani kuenea kwake kunajulikana!!Africa haikuwa na shida ya ukimwi mpaka pale hao mabwana zako walipouleta kwa mpango wao muovu wa kupunguza idadi ya watu.
So lazima wawajibikie walichokisababisha. Come on
Mkuu hata vyoo tu tumeshndwa jichimbia...mpk Marie stoppe foundation atoke German aje kutuchimbia...what a shameAfrika hapa ndipo tunachemka, kila baya kuona chanzo ni mzungu, sasa kama wao ndio waliuleta sasa ni miaka karibu 40, mmechukua hatua gani kuumaliza kwani kuenea kwake kunajulikana!!
Toka wazungu wameondoka ni zaidi ya miaka 60, hadi leo maji tu safi na salama, ni mtihani, njaa hao viongozi wamefanya nini hasa la maana!!
Hadi tutapotea kwenye dunia hii kwa akili hizi za kiafrika kuishi bila mzungu ni ngumu sana!!huo ndio ukweli mchungu.
Hao wanaotengeneza tatizo na kulitatua!Msisahau ni kwa hisani ya watu wa America,, siyo kwa hisani ya watu wa Urusi
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app