CIC Malema arudi akasome historia ya ukweli kabla ya Kuja na mhemko huu,tuelewe Ukraine kipindi hicho ilikua sehemu ya USSR, means hawa freedom fighters wa kiafrika walisoma, walisaidiwa na wana ukraine ndani ya ukraine ya sasa, facts hii tusiisahau kabisa na hatuwezi eti now tuitenganishe na soviet. Halafu CIC Malema anachochea xenophobic ndani ya SA hili hatulioni, kumbuka alifanya ziara eti kukagua non South africans walioajiriwa kwenye restaurants alizotembelea