Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
- #21
Utafananisha ligi kuu ya serie A nchini brazil miaka ya 80 dhidi ya huu utopolo wa TPL? Brazil ambayo ilikuwa na kizazi bora cha mpira mara baada ya kile cha kina pele... Unazungumzia vipaji kama kina romario,zico,socrates,gerson,robertinho, marco antonio ,bebeto na wengineoAta Juma Mgunda alikua mchezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania pia ali isaidia costal union kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara na alikua mmoja ya washambuliaji hatari katika mashindano ya vilabu Africa mashariki na kati 1989 (CECAFA) mashindano yaliyofanyika Kenya.
Alifanikiwa kuipeleka Costa final katika mashindano hayo japo katika fainali walifungwa na Kenya Breweries.
Lakini Mgunda Hana Mbwembwe za Robertinyo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]