Mzuka wa ushangiliaji wa Kocha Robertinho haukuanzia hapa Simba; alikuwa hivyo toka anacheza mpira wa miguu kwao nchini Brazil

Utafananisha ligi kuu ya serie A nchini brazil miaka ya 80 dhidi ya huu utopolo wa TPL? Brazil ambayo ilikuwa na kizazi bora cha mpira mara baada ya kile cha kina pele... Unazungumzia vipaji kama kina romario,zico,socrates,gerson,robertinho, marco antonio ,bebeto na wengineo
 
Kwasasa stutus Yao ni mmoja, Wachezaji wa zamani na Wana Leseni ya Aina mmoja ya ukocha.
 
How about experience? Tafuta profiles zao halafu uje ucomment tena
Experience tunaiona uwanjani, Timu alivyokuwanayo Mgunda mechi za Domestic na Kimataifa na timu alivyokabidhiwa Robertinyo Sasa unataka Experience gani na Mashabiki wa Simba wanajua nani Bora zaidi ya mwenzake Kwa upande wa mbinu.

Mimi sio Simba ila Simba naishi nao mitaani na tunasikia maoni Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…