Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahh nilikuwa Nina dogo anasoma pale advance siku niliyoenda kumcheki alinionyesha hapo chatu zoneWale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya ukarabati.
Karibuni wazumbe na kilakala wote "nyayo”?
Mnaopita hii thread msisahau kushare experience, events nk za uzumbeni. Siku ya kwanza kuripoti nilienda prepo kupiga msuli kwaajili ya woga. Wadau walinicheka sana na kuníita "mtabe". Wazumbe toeni experience ya pale. Chatu zone. Zongwe, Mongwe, Mzukila., Kilima Hewa.
Ha ha ha! Hiyo Graduu ilikuwa Hataree. Jmaa Hata Sahau "P.E" But Kwa Pale Ni Kawaida Kuwanayo. Uli Graduate Lini Mkuu?Kuna bro mmoja alikuwa Karume 5 alipigwa P. E,,, siku ya mahafali akawa analia tu huku kajifunga msuli ikabid mama yake amletee zawadi zake bwenini
Nligraduate olevel 2007 kaka paleHa ha ha! Hiyo Graduu ilikuwa Hataree. Jmaa Hata Sahau "P.E" But Kwa Pale Ni Kawaida Kuwanayo. Uli Graduate Lini Mkuu?
Teh teh hao zongwe ni balaa nakumbuka wakikupitia usoni uso unakua kama umebabuka vile, kipindi cha mvua usiombe tope linakua jekunduu, kuna ule mchungwa pale staff tulikua tunaiba machungwa na madogo wa o level, ila chatu pori kuna washkaji walipewa wafyeke pale. Nmemiss lile disco wazumbe wote tunanukia pafyumu ya aina moja.. Mtu anaishi milambo anaenda fuata pafyumu shaban robert. Siku ya pilau kila mwana mzumbe ananunua soda.. Haha aaUle mwaka wa zongwe lipo kwenye ubora ikafika mahafali ya form 6 ukumbi karibu wote tumechakaa nyuso,,, Mzee Mwasha anatupa moyo eti hata mimi limenipiga kidogo hapa
Yaah nliwakuta wote hao kaka,,, kumbe amefariki yule mpishi tall,,, daah apumzike kwa amani alikuwa peace sanaI hope Ulimkuta Minja, Shayo, Malamasha Wote Nasikia Wapo. Kuna Mpishi Mrefu, Slim, Ananyoa Pank. Alifariki Mwezi 3 this year.
Ha ha ha! Those Moment Zilikua Funny But Fundisho. Afu Huwezi Kuzi Embrace Tenaaaah!Teh teh hao zongwe ni balaa nakumbuka wakikupitia usoni uso unakua kama umebabuka vile, kipindi cha mvua usiombe tope linakua jekunduu, kuna ule mchungwa pale staff tulikua tunaiba machungwa na madogo wa o level, ila chatu pori kuna washkaji walipewa wafyeke pale. Nmemiss lile disco wazumbe wote tunanukia pafyumu ya aina moja.. Mtu anaishi milambo anaenda fuata pafyumu shaban robert. Siku ya pilau kila mwana mzumbe ananunua soda.. Haha aa
Mzumbe sec ni ya boys... sikuwepo mkuu. Ila naielewa kiasi discussion yenu. Inawezekana nilikuwa mpishi pale.. ha haaaaTatty Thread Imepoa Njoo Ipe Munkariiiii....!!!
Mama Malamsha anauza maziwaI hope Ulimkuta Minja, Shayo, Malamasha Wote Nasikia Wapo. Kuna Mpishi Mrefu, Slim, Ananyoa Pank. Alifariki Mwezi 3 this year.
Tulikua tunanunua mtindi hapo. Tunanunua na salo la dada zawadi. Ukipata hvi vtu unaweza kuzani dunia yote ni yako. Pembeni una limao zako unaztia kwenye maharage hahaa hatari sanaMama Malamsha anauza maziwa