Mzumbe Sekondari

Mzumbe Sekondari

mkuu umenikumbusha longi sana. kwenye hilo sakata la chatu 2003 nami nilikuwepo, nilishiriki hadi kuchimba pale alipoingia shimoni. hahaaaa. Namkumbuka sana shangazi, alikuwa rafiki yangu, siku ya pilau ananidokolea supu teh teh
Ulionesha Ushujaa Kweli Mkuu. Shangazi Hakuwepo Enzi zetu.
 
Hv yule dada mwenye mguu mbovu bado yupo? Kudadekiiiii maandaz yake yalikua matamu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vijana Wetu Bado Wapo Imara Last Year Tumetoa Washindi 2 ( A- Level) Wa Kwanza Kitaifa Wa Mashindano Ya Sayansi Na Walipewa Tour Ya Kwenda Ireland Pamoja Na Scholarships. Kwa Upande Wa O-Level Tumetoa Mshindi Wakwanza wa Essay Ya SADC. Bravoo Boys.
 
mzumbe idumu milele
 
Watoto wenye nidhamu na heshima hongereni kwa kukumbushiana sie tuliokuwa kama tupo jeshini au langley "raha ilikuwa ni karaha"
 
Watoto wenye nidhamu na heshima hongereni kwa kukumbushiana sie tuliokuwa kama tupo jeshini au langley "raha ilikuwa ni karaha"
Mkuu kitu kingine uzumbeni yani hakuna wizi kabisa. Na ukikamatwa wew ni mwizi ni kufukuzwa shule bila mjadala. Nakumbuka madaftari tulikua tunaacha darasani just imagine vitabu vya advance kama vya physics zile chands au nelkon unaacha darasani na hakuna anayeiba. Kwa miaka miwili yote niloyosoma advance vitabu yangu nilkua naeka darasani.
 
ILIKUWA UKICHEZA DISCO NA POLYGON LA KILAKALA SEC UTATANIWA TERM NZIMA DAAAH NIMEKUMBUKA MIHOGO YA KUCHEMSHA YA MKE WA LIBRARIAN
 
ILIKUWA UKICHEZA DISCO NA POLYGON LA KILAKALA SEC UTATANIWA TERM NZIMA DAAAH NIMEKUMBUKA MIHOGO YA KUCHEMSHA YA MKE WA LIBRARIAN
Polygon au kiunde.. Vipi mkuu nyiny mlikua hamnyooshi uniform pale DH siku moja kabla ya Disko? Nakumbuka kuna wana walikua wananyoosha nguo siku ya disco tu.
 
Ikifika Weekend Wadau Wanashuka Chuo Kubet, Magazeti, Supermarket, Church, Kilima Hewa, Changarawe,Wengine Town. Daah! But At The end of Day Watu Wanatusua Paper Kikwelíi..!
 
ILIKUWA UKICHEZA DISCO NA POLYGON LA KILAKALA SEC UTATANIWA TERM NZIMA DAAAH NIMEKUMBUKA MIHOGO YA KUCHEMSHA YA MKE WA LIBRARIAN
Ha ha ha! Ukimpata Kiunde Utapigwa Jungu Kweli...! Mihogo Ukizubaa Tu Dakika Ishaishaaa....! Wapi Mama Shayoo.
 
Watoto wenye nidhamu na heshima hongereni kwa kukumbushiana sie tuliokuwa kama tupo jeshini au langley "raha ilikuwa ni karaha"
Mkuu Wengine Tunaelekea Kula Pension. Kuna Mashaibu Hapa.
 
Back
Top Bottom