Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Mlifanyiwa Ambush? Si Walimu Walikuwa Wanachonga na mlinzi Wa Chuo. Akigundua We Sio Wapale Anaita Mwiziii. Duh Ukidakwa Unachezea Rungu, Mangumi, Mtama. Afu Wana Kupiga Biti Usije Tena. But Wadau Ukiwakataza Ndo Kama Umewaita. Tuna shuka kama nyuki. Teh teh teh.Teh teh nimekumbuka ktu. Kule mzumbe University tulikua tunakuja kusoma pindi umeme ukikatika kule mzumbe secondary basi kuna siku walimu walikuja kufany ambush kule kule chuoni..
Ha ha! Umetisha Mkuu. Hou Utukufu Wa Mungu Ulienda Wapi?? Ha ha...!KULIKUWA NA MWALIMU WA KITUSI MWAKA 1995 ALIFUNDISHA HISTORY MRS RUBAGUNYA DAAH MAMA AMEUMBIKA SIJAPATA KUONA DUNIA HII NILIKUWA SIPENDI HISTORY ILA SIKOSI KIPINDI KUSHUHUDIA UUMBAJI WA MUNGU KWA HUYU MAMA
Kuna Factors Nyingi. Kuna Baadhi Wanapewa Paper Wakiwa Primary au O- level. Au Wengine Wanatoa Hongo Na Kuhamia Pale. Siku Hizi Wapo Wengi. Mara Nyingi Hao Wanaleta Ufaulu Mbaya. Pia Wanaotoka Private Wanashindwa Kufanya vizuri kutokana na Mazingira Ya Mzumbe. Hope Nimekujibu Swali lako.ngojeni niwaulize swali hili
mtu kachaguliwa mzumbe, kibaha and the like inatokeaje anapata 0 hadi 3 form 4 au 6 ili hali walio onekana ndio 0 shule ya msingi wengi wankuja kufaulu zaidi yao
Mkuu kwenda mzumbe, kibaha hakukupi guarantee ya kufaulu. Kule ni juhudi zako sana ndo zinakutoa. Kitu kingine ni mazingira. pia kuna watu wakienda hizo shule wanakuta mazingira waliyoyategemea ni tofauti kabisa na yaliyopo pale unakuta mara nyingi mtu anakata tamaa.ngojeni niwaulize swali hili
mtu kachaguliwa mzumbe, kibaha and the like inatokeaje anapata 0 hadi 3 form 4 au 6 ili hali walio onekana ndio 0 shule ya msingi wengi wankuja kufaulu zaidi yao
Hapana Mkuu. Nimekulia mazingira ya huko. So napafahamu sanaHa ha! Kumbe Ulikua Mdau Wa Law Apo MU.
Ha ha haaaa then Sangasanga ....umenukumbusha mbali sanaUmesahau Pia Mindu.
Kifupi ni kwamba.. nimezaliwa huko..nimeishi huko. Mzumbe ni kama nyumbani...moro is my home town.Asiee! Kama umukulia Hayo Mazingira Ndo Uwafahamu Watu Wengi Hivyo wa Mzumbe sec na Univ.?? Mmh na Mashaka Na weye.
Ha ha haaaa tuishie hapo.Ha ha ha! Kwahiyo We ni Kid Wa Teacher Flan Hivi....????
Ha ha haa! Shaby A.k.a Town. Mwasha ali Favour Sana Wazumbe Nilishangaa Walipo Fanya Mgomo. Right now No Favour At All....!Shaban Robert Namba 5 then nikahamia complex....,nilivyorudi advance nikarudi tena SR5. Daah nazikumbuka nyuji.
Alivyokuja Mwasha tuliishi vizuri sana aisee. No much kande , nyali most of the time. Nilipenda sana ile spirit ya kusoma ya Mzumbe.
Wali na njegere kwa mama BossiKifupi ni kwamba.. nimezaliwa huko..nimeishi huko. Mzumbe ni kama nyumbani...moro is my home town.
haaaaaa.. wazumbe noma, baadae watadai mpishi awe na phdNani anakumbuka Hii? School Baraza Ambapo Wazumbe Walitaka Walimu Wanao Fundisha Wawe Na Masters & P.h.d tu? Afu Wapishi Wawe Na Diploma. Duuh! Minja ali mind Sanaaa.